Kuna kitu nataka nielewe hapa mkuu so unapo ambiwa hii graphics card ni 4gb ama 6gb hio ni ram!?Mkuu usiangalie performance ya Gpu kupitia ram. Kabla haijatoka Gtx 1650 rx 550 na gtx 750Ti ndio zilikua Gpu nzuri kwenye low profile na desktop zetu hizi za Ki masikini.
Lakini ukicompare Gpu zote rx 550 still ni lowend.
Tumia benchmarks mbalimbali kuangalia performance online na sio ram.
Ndio ni ram Mkuu, Sema jina halisi ni Vram yaani ram za video, zenye we zinakua na speed kuliko ram za kawaida.Kuna kitu nataka nielewe hapa mkuu so unapo ambiwa hii graphics card ni 4gb ama 6gb hio ni ram!?
Sawa kwaiyo unaweza kuta iyo gtx 1650ti ya 2gb ikawa kari zaidi ya hii rx yangu hata kama zitakua zote ni GDDR5? Na nini kitacho ifanya iwe na nguvu zaid?Ndio ni ram Mkuu, Sema jina halisi ni Vram yaani ram za video, zenye we zinakua na speed kuliko ram za kawaida.
Yako wewe ni Gddr5 kwenye rx 550, ni nzuri kuliko ram za kawaida ddr4 unazozikuta kwenye desktop za kisasa, ndio maana gpu ina nguvu kuliko gpu za ndani.
Sema gpu za kisasa kabisa zinazoanza kuja sasa hivi zina Gddr6.
architechture mkuu, kama vile tunavyosema generation kwenye cpu na gpu pia zina architecture zake.Sawa kwaiyo unaweza kuta iyo gtx 1650ti ya 2gb ikawa kari zaidi ya hii rx yangu hata kama zitakua zote ni GDDR5? Na nini kitacho ifanya iwe na nguvu zaid?
Duuh! Mkuu kwan bitcoin wanahusiana nin na hiz gpu au wao pia wafanyia biasharaarchitechture mkuu, kama vile tunavyosema generation kwenye cpu na gpu pia zina architecture zake.
pia kwenye gpu unaangalia namba ya kati, mfano rx 550 mwenzake ni gtx 750ti kwa nvidia ambaye akawa succeeded na 950 na 1050, zote hizi unaona zina 5 kama namba ya kati, hio inaelezea series yake.
1650 yenyewe inakaribia level za kina 1060, japo haijafikia ila somehow ina nguvu kushinda hawa wa series za 5. hivyo bila doubt hata kama ina 2gb ram itakuwa na nguvu kama mara 2 ama 3 ya rx 550.
sema tatizo ni bei mkuu kuipata hio 1650, hawa wapuuzi wa bitcoin choice yao ni excatly kama ya kwetu wanaangalia ulaji umeme, 1650 inakula umeme mdogo sana watts 75 kushuka hali ya kuwa inakupa perfomance kubwa, bei yake Nvidia waliizindua kama $149 ambayo ni around 350,000 mpya, ila amazon ukienda nyingi zinazidi milioni 1, sababu ya jamaa wa Bitcoin wanazinunua. hivyo itamani tu mkuu kuipata ni ndoto.
gt 1030 ambayo ni gpu ndogo sana tulikuwa tunanunua mpaka 150k sasa hivi hadi laki 4 kupanda.
bitcoin zinachimbwa na gpu mkuu, unakuta mtu mmoja tu anamiliki maelfu ya gpu, ndio maana unaona hata mitumba ya gpu haiji tena kibongo bongo.Duuh! Mkuu kwan bitcoin wanahusiana nin na hiz gpu au wao pia wafanyia biashara
inategemea na bei mkuu lakini sio gaming monitor. advantage yake kubwa ni ultrawide ukicheza games kama fifa utaona almost uwanja mzima, sema mambo mengine ni kama tu monitor ya kawaida.Nec multisync EA294WMi
Mkuu unaweza kuniangalizia iyo monitor kama inafaa kwa game nnch 29
Laki 270000k mkuu ni sahihiinategemea na bei mkuu lakini sio gaming monitor. advantage yake kubwa ni ultrawide ukicheza games kama fifa utaona almost uwanja mzima, sema mambo mengine ni kama tu monitor ya kawaida.
BEI nzuri sana Mkuu, unless ina matatizo.Laki 270000k mkuu ni sahihi
Kungekua na eBay huku ungepiga hela ndefu sana. Una kitu ambacho kinatafutwa kama Almasi.
Kungekua na eBay huku ungepiga hela ndefu sana. Una kitu ambacho kinatafutwa kama Almasi.
Kungekua na eBay huku ungepiga hela ndefu sana. Una kitu ambacho kinatafutwa kama Almasi.
Kama ni hivyo basi uza ebay nadhani utapata bei nzuri zaidikweli kaka sema ata uku watu wanaofanya gamimg wanaweza hitaji
Atauzaje eBay tokea Tanzania?Kama ni hivyo basi uza ebay nadhani utapata bei nzuri zaidi
Mkorea huyo mkuu, Samsung ndio katengeneza, pia yupo Mtaiwan TSMC. Kampuni nyingi za kizungu kama Global foundry na Intel pia zipo.
Sasa mkuu how possible zinatengenezwa transistor billion kumi kwa simu moja?Ni binadamu anatengeneza?Halafu transistors billion kumi zinaweza vipi kukaa kwenye simu moja?!Mkorea huyo mkuu, Samsung ndio katengeneza, pia yupo Mtaiwan TSMC. Kampuni nyingi za kizungu kama Global foundry na Intel pia zipo.
Yani kivumbi kimoja tu Kiki ingia hapo kinaharibu, sehemu wanayotengenezea ni safi Mara laki 1 compare na chumba cha upasuaji Hospital.Sasa mkuu how possible zinatengenezwa transistor billion kumi kwa simu moja?Ni binadamu anatengeneza?Halafu transistors billion kumi zinaweza vipi kukaa kwenye simu moja?!