Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #61
vipi kuhusu bei kama ya processor za i5 na i7 kwa Dar zinakuwa ni kiasi gani?
around dola 200 kwa i5 na around dola 300 kwa i7. zote ni 4th generation
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi kuhusu bei kama ya processor za i5 na i7 kwa Dar zinakuwa ni kiasi gani?
thanks chief.. sasa mi nataka ni Overclock pc yangu Dell GX620 kuna best software yoyote unayoijua ili ni apply mzigo fasta niweze kuexport/render kazi zangu fasta?
1. processor iliyokuwemo humo inakubali ku overclock? nyingi zinazokubali zinaishiwa na k
2. motherboard yako inakubali ku overclock? huwa kikawaida kina dell, hp na oem wengine wa pc hawaruhusu ku overclock na wanaeka motherboard zisizoruhusu
duh kumbe! shukran kiongoz afu kuna pc yangu nyingine nataka niweke ram 4GB
yenyewe spexcification zake ni
dell pentium 4 Intel CPU 3.40GHZ 3.39 Ghz
system type 32 bit windows 7
ram slots ziko 4
je naweza kuchomoa hii ram iliyomo DDR 2 1GB THEN NKAWEKA DDR2 4GB na ikapiga mzigo faster?
Pia je kwa processor hiyo nawez nika upgrade kuja 64bit ili niinjoy mengi zaidi maana now naiona kama iko limited hivi hadi kero
shukran
Asante sana kaka kwa msaada unaotupa wadau kupitia bandiko lako. Samahani mimi siko vizuri kwenye eneo hili ila natamani kufunungua stationery ambayo itakuwa pia na internet cafe. Naomba unisaidie kujua desktop computers ambazo zitakuwa nzuri kwa hiyo biashara. Natanguliza shukurani mkuu.
Asante mkuu. Somo la AMD lini?
Chief ivi kuna uwezekano wa ku track computer iliyoibiwa? Km unaijua Mac address yake?
Cc: chief-mkwawa
kaka jina halijakamilika kila processor inakuwa na namba zake iangalie vizuri then ilete tena
Mkuu hakuna laptop zinazo tumia Xeon processor sahv?
Mkuu Mkwawa awali ya yote pongezi sana kwa kutuelimisha nn mtazamo wako na ushauri wako kwangu kuhusu hii pc kama ni nzuri ya kawaida au ni mbaya.
processor:Intel(R)Core(TM)i5CPU M540at 2.53GHz 2.53GHz..............utanisamehe hilo neno at limeandikwa kwa mfumo wa computer lakini nimeshindwa kuweka kutokana na ugeni wa teknolojia ya TEHAMA hasa computer.
around dola 200 kwa i5 na around dola 300 kwa i7. zote ni 4th generation
shukrani kwa jibu,kama laptop nzima inakuwa ni kiasi gani yenye hizo processor?
unaweza kama ulifanya maandalizi kabla haijaibiwa hio computer, ila kama tayari imeshaibiwa sidhani kama utaweza
Kama maandalizi yepi? Nijulishe zaidi
kuna service za kulipia ambazo wanachukua unique id ya processor, hata pc ikiibiwa ikiingia tu online watajua.
ilikuwepo intel ant theft ya intel wenyewe ila mwaka huu wameifunga na service nyengine sina uzoefu nazo unaweza take time ukazigoogle ukaziangalia.
-lojack
-laptop cop
-gadget trak
-undercover
-frontdoor software security