Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

thanks chief.. sasa mi nataka ni Overclock pc yangu Dell GX620 kuna best software yoyote unayoijua ili ni apply mzigo fasta niweze kuexport/render kazi zangu fasta?
 
1. processor iliyokuwemo humo inakubali ku overclock? nyingi zinazokubali zinaishiwa na k

2. motherboard yako inakubali ku overclock? huwa kikawaida kina dell, hp na oem wengine wa pc hawaruhusu ku overclock na wanaeka motherboard zisizoruhusu
 
duh kumbe! shukran kiongoz afu kuna pc yangu nyingine nataka niweke ram 4GB

yenyewe spexcification zake ni

dell pentium 4 Intel CPU 3.40GHZ 3.39 Ghz

system type 32 bit windows 7

ram slots ziko 4

je naweza kuchomoa hii ram iliyomo DDR 2 1GB THEN NKAWEKA DDR2 4GB na ikapiga mzigo faster?

Pia je kwa processor hiyo nawez nika upgrade kuja 64bit ili niinjoy mengi zaidi maana now naiona kama iko limited hivi hadi kero

shukran
 
hamna haja ya kuchomoa hio una slot nyingi chomeka tu kwengine zikae pamoja.

ila naona kama upo limited sana na hio processor why usiiuze uka upgrade kwenye core 2 duo au quad?
 
Asante sana kaka kwa msaada unaotupa wadau kupitia bandiko lako. Samahani mimi siko vizuri kwenye eneo hili ila natamani kufunungua stationery ambayo itakuwa pia na internet cafe. Naomba unisaidie kujua desktop computers ambazo zitakuwa nzuri kwa hiyo biashara. Natanguliza shukurani mkuu.
 
Asante mkuu. Somo la AMD lini?
 
Chief ivi kuna uwezekano wa ku track computer iliyoibiwa? Km unaijua Mac address yake?
Cc: chief-mkwawa
 
Asante sana kaka kwa msaada unaotupa wadau kupitia bandiko lako. Samahani mimi siko vizuri kwenye eneo hili ila natamani kufunungua stationery ambayo itakuwa pia na internet cafe. Naomba unisaidie kujua desktop computers ambazo zitakuwa nzuri kwa hiyo biashara. Natanguliza shukurani mkuu.

cha muhimu hapo ni wifi, hakikisha hizo computer zina wifi then unaziunganisha zenyewe pamoja na printer kwa kutumia wifi (router) hii itakusaidia kupunguza mawaya mengi na speed ya ufanyaji kazi itaongezeka.

pia kwa ajili ya internet cafe monitor zako ni vyema zikawa na umbo linalofanania na mraba. zipo monitor ambazo ni fupi halafu pana zile huzingua kwenye browsing.

kuhusu aina ya computer ya mambo ya kiofisi kama hayo ni ram kama 2gb kupanda, core 2 duo processor kupanda juu na hdd yoyote ile.

computer nyingi za madukani zinazopatikana hapa Tz zitafaa
 
Chief ivi kuna uwezekano wa ku track computer iliyoibiwa? Km unaijua Mac address yake?
Cc: chief-mkwawa

unaweza kama ulifanya maandalizi kabla haijaibiwa hio computer, ila kama tayari imeshaibiwa sidhani kama utaweza
 
Mkuu Mkwawa awali ya yote pongezi sana kwa kutuelimisha nn mtazamo wako na ushauri wako kwangu kuhusu hii pc kama ni nzuri ya kawaida au ni mbaya.
processor:Intel(R)Core(TM)i5CPU M540at 2.53GHz 2.53GHz..............utanisamehe hilo neno at limeandikwa kwa mfumo wa computer lakini nimeshindwa kuweka kutokana na ugeni wa teknolojia ya TEHAMA hasa computer.
 
Mkuu hakuna laptop zinazo tumia Xeon processor sahv?

zipo zimeanza kutoka ila na bei pia ujipange. mfano kuna hizi lenovo p50 na p70 zote zinatumia xeon

bei inaanza dola 1600 kwa p50 na dola 2000 kwa p70. itapanda kutokana na configuration.

-kioo mpaka 4k
-ram mpaka 64gb
-storage mpaka 2tb hdd na 1tb ssd

Lenovo-ThinkPad-P50-300x219.jpg
 
Mkuu Mkwawa awali ya yote pongezi sana kwa kutuelimisha nn mtazamo wako na ushauri wako kwangu kuhusu hii pc kama ni nzuri ya kawaida au ni mbaya.
processor:Intel(R)Core(TM)i5CPU M540at 2.53GHz 2.53GHz..............utanisamehe hilo neno at limeandikwa kwa mfumo wa computer lakini nimeshindwa kuweka kutokana na ugeni wa teknolojia ya TEHAMA hasa computer.

cpu sio mbaya japo ni generation ya zamani, first generation ila bado ina power ya kutosha kuhandle task nyingi.
 
shukrani kwa jibu,kama laptop nzima inakuwa ni kiasi gani yenye hizo processor?

mpya i5 za kisasa kuanzia 4th generation ya bei rahisi niliyowahi kuiona ni shilingi 850,000 na za i7 zinaanzia milioni kupanda inategemea na configuration

ila kwa used i5 za zamani unaweza pata hata around 400,000
 
Kama maandalizi yepi? Nijulishe zaidi

kuna service za kulipia ambazo wanachukua unique id ya processor, hata pc ikiibiwa ikiingia tu online watajua.

ilikuwepo intel ant theft ya intel wenyewe ila mwaka huu wameifunga na service nyengine sina uzoefu nazo unaweza take time ukazigoogle ukaziangalia.

-lojack
-laptop cop
-gadget trak
-undercover
-frontdoor software security
 
Asante chief. Hayo maandalizi sikuyafanya. Mm nlijua ukiwa na Mac address tu ingefaa
 
Back
Top Bottom