Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Shukrani sana mkuu!🙏🙏🙏Jinsi socket inavyokuwa latest ndio Jinsi ilivyo nzuri hata kama socket ya 765 ni nzuri itakusaidia nini kama cpu zake ni slow sana? Hivyo vipini ni design tu, usiviweke sana kichwani na kukuinfluence kwenye mawazo yako wakati unachagua pc.
Jaribu pcpartpicker ukichagua motherboard itakupa aina cpu and vice versa, pia Wikipedia wanakuwa na hizi list
Mfano hii
Ukiclick motherboard husika ina kupeleka moja kwa moja site ya Intel unaona na support.![]()
List of Intel chipsets - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Xeon ni professional cpu japo zinatumika same architecture na Cpu za kawaida, motherboard zake ni tofauti, huwa kimakusudi Intel wanazitofautisha na motherboard za majumbani kawaida, kuna baadhi ya mods watu wanafanya lakini kurun xeon kwenye mobo za kawaida, na motherboard za xeon zinakuwa na Bei ndefu sana.
Uzuri wa motherboard si hizo socket Bali ni features nyengine, fatilia H series, B na Z series zaidi kuliko socket, socket ipo hivyo Sababu ya maamuzi tu na design ambazo zipo nje ya uelewa wetu watumiaji wa kawaida.
Kama nilivyosema juu motherboard nzuri si socket Bali ni series yake, motherboard ya elfu 60 na motherboard ya milioni 1 zote zinaweza kuwa na socket moja, ukipata motherboard Z series high-end ndio inakuwa nzuri zaidi utapata features za kisasa kama
-uwezo wa ku overclock,
-support ya frequency kubwa
-slot nyingi za ram
-slot nyingi za storage
-optical audio
-wifi 6
-gigabit ether net etc
Mfano Angalia hii
Amazon product ASIN B087LHPYT6
Hivyo socket ni lazima iwepo ile ile Haijalishi ni motherboard ipi ila features zinabadilika baina ya H, B na Z motherboard.
1.Hivi mkuu motherboard mpya kutoka dukani inakuwa haina chochote?Namaanisha kuwa huwa inakuja bila CPU,GPU,RAM,HDD/SDD?
2.Hivi mkuu hii series ya motherboards ya 100,200,300,400 na 500 zinapatikana bongo?Na kama zinapatikana hapa bongo bei zake zipoje hasa kuanzia series ya 300?Kwa hapo bongo used bei zake zipoje na mpya bei zake zipoje?Nje used bei zake zipoje na mpya bei zake zipoje?(Mkuu hapa naulizia hizi za matumizi tu ya kawaida siyo akina Z.Nazungumzia akina H)