Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

IMG_1233.jpg

IMG_1231.jpg

IMG_1232.jpg

IMG_1226.jpg

IMG_1229.jpg

IMG_1228.jpg

IMG_1227.jpg

IMG_1224.jpg

IMG_1225.jpg
 
Jamani msaada plz .ninahitaji kununua laptop ,sasa Nina option mbili ,moja IPO bongo,mbili IPO UK .sasa ya bongo ni Hitachi frola se 210rk5 ram 2gb,ROM 125ssd price 350k
Hiyo ya abroad ni dell ram 16 GB,ROM 500hdd touch screen price 320k
Hii ya abroad inafikishwa kwa njia ya dhl, sasa my intention ni kwamba kuna mwenye uzoefu na hiyo njia ,au nichukue ya bongo tu hiyo.sasa 2gb si itakua slow sana.nawasilisha kwenu wazoefu.🙏🙏
 
Chief Editor Chief-Mkwawa chuxxe Zugak17 na wengine msaada plz
 
Jamani msaada plz .ninahitaji kununua laptop ,sasa Nina option mbili ,moja IPO bongo,mbili IPO UK .sasa ya bongo ni Hitachi frola se 210rk5 ram 2gb,ROM 125ssd price 350k
Hiyo ya abroad ni dell ram 16 GB,ROM 500hdd touch screen price 320k
Hii ya abroad inafikishwa kwa njia ya dhl, sasa my intention ni kwamba kuna mwenye uzoefu na hiyo njia ,au nichukue ya bongo tu hiyo.sasa 2gb si itakua slow sana.nawasilisha kwenu wazoefu.🙏🙏
Ram na hdd sio issue hio hitachi in Amd E1 haina issue, hio dell ni model ipi na processor yake ni ipi?
 
  • Thanks
Reactions: Lee
wakuu msaa kidogo hapa nina desktop naitaji kupiga windows lakin sipati bootable nimejaribu kila serting wap!! ni.dell optiplex nimejaribu mpk kupigia disk nnje lakin imekataa
 
Umejaribu kutumia flash?
 
Dimensity 9000 sio? Bado sana kuizungumzia, issue ya hizi soc zinazotumia Mali GPU hazina drivers za maana kurun games na task nyengine zinazotumia gpu sana hasa za Open GL.
Kwa mtu anayetaka kununua simu yenye Dimensity 9000 unamshaurije?
 
yeah kaka ila bado imekataa haata flash siion japo kwenye bios seting nimeifungua
Na umeset priority iwe usb?

Sometime wakati wa kuweka windows kama umeset priority iwe network inazingua sababu inasearch tu kwa kutumia network/internet hio windows badala ya kifaa chako ulichochomeka.

Hakikisha usb ndio ya kwanza kwenye boot order.
 
Back
Top Bottom