Zugak17
JF-Expert Member
- Aug 9, 2014
- 1,168
- 380
Ipo hp notebook 15dw…
Core i5- 11th gen
Intel iris Xe graphics card
8GB Ram DDR4
256GB Nvme ssd
4hrs battery…
Bei ni 900k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo hp notebook 15dw…
Core i5- 11th gen
Intel iris Xe graphics card
8GB Ram DDR4
256GB Nvme ssd
4hrs battery…
Nimeisha nunua mkuu labda wengine wajeIpo hp notebook 15dw…
Core i5- 11th gen
Intel iris Xe graphics card
8GB Ram DDR4
256GB Nvme ssd
4hrs battery…
auna nyingine ya bajeti ya 500kBei ni 900k
auna nyingine ya bajeti ya 500k
core i5 kuanzia gen 7 kuendelea
core i7 kuanzia gen 5 kuendelea
Chief Editor Chief-Mkwawa chuxxe Zugak17 na wengine msaada plzJamani msaada plz .ninahitaji kununua laptop ,sasa Nina option mbili ,moja IPO bongo,mbili IPO UK .sasa ya bongo ni Hitachi frola se 210rk5 ram 2gb,ROM 125ssd price 350k
Hiyo ya abroad ni dell ram 16 GB,ROM 500hdd touch screen price 320k
Hii ya abroad inafikishwa kwa njia ya dhl, sasa my intention ni kwamba kuna mwenye uzoefu na hiyo njia ,au nichukue ya bongo tu hiyo.sasa 2gb si itakua slow sana.nawasilisha kwenu wazoefu.🙏🙏
Ram na hdd sio issue hio hitachi in Amd E1 haina issue, hio dell ni model ipi na processor yake ni ipi?Jamani msaada plz .ninahitaji kununua laptop ,sasa Nina option mbili ,moja IPO bongo,mbili IPO UK .sasa ya bongo ni Hitachi frola se 210rk5 ram 2gb,ROM 125ssd price 350k
Hiyo ya abroad ni dell ram 16 GB,ROM 500hdd touch screen price 320k
Hii ya abroad inafikishwa kwa njia ya dhl, sasa my intention ni kwamba kuna mwenye uzoefu na hiyo njia ,au nichukue ya bongo tu hiyo.sasa 2gb si itakua slow sana.nawasilisha kwenu wazoefu.🙏🙏
Dimensity 9000 sio? Bado sana kuizungumzia, issue ya hizi soc zinazotumia Mali GPU hazina drivers za maana kurun games na task nyengine zinazotumia gpu sana hasa za Open GL.
Machine kali sana mkuu, kote kwa single na multithreadWe bought this machine for heavy data processing. Any comment kwa wajuzi wa mambo? View attachment 2049097
Umejaribu kutumia flash?wakuu msaa kidogo hapa nina desktop naitaji kupiga windows lakin sipati bootable nimejaribu kila serting wap!! ni.dell optiplex nimejaribu mpk kupigia disk nnje lakin imekataa
yeah kaka ila bado imekataa haata flash siion japo kwenye bios seting nimeifunguaUmejaribu kutumia flash?
Kwa mtu anayetaka kununua simu yenye Dimensity 9000 unamshaurije?Dimensity 9000 sio? Bado sana kuizungumzia, issue ya hizi soc zinazotumia Mali GPU hazina drivers za maana kurun games na task nyengine zinazotumia gpu sana hasa za Open GL.
Asubirie reviews kwanzaKwa mtu anayetaka kununua simu yenye Dimensity 9000 unamshaurije?
Na umeset priority iwe usb?yeah kaka ila bado imekataa haata flash siion japo kwenye bios seting nimeifungua