Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #2,381
Hio ni 4pin ndio, ukitoa hio hakuna 6pin ama 8pin?Nii Hii ama kuna nyengne? View attachment 2402904
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio ni 4pin ndio, ukitoa hio hakuna 6pin ama 8pin?Nii Hii ama kuna nyengne? View attachment 2402904
Hapana hakuna zaidi ya hiii kakaHio ni 4pin ndio, ukitoa hio hakuna 6pin ama 8pin?
4 pin ni ya Cpu mkuu, hio psu yako haina pin 24?Swali langu sasa Hii 4 pin nimeona inaenda kwenye motherboard na kuna sehemu kwenye motherboard ya Hii
It means kwamba ukitaka kui convert hiii haito enda tena mwenye motherboard itaenda direct kweny GPU
Pc itafanya kazi vizuri kweri?
Unaweza ku modify hizo connectorAu ndio inabidi kupata converterView attachment 2402340
Nimechek inayo hizo 24 pin4 pin ni ya Cpu mkuu, hio psu yako haina pin 24?
Naitaji kusoma zaidi hiii Kaka maana itanichanganya sanaaUnaweza ku modify hizo connector
Angalia pin out configuration ya card yako.
Hizo wire za njano ni 12V, na Black ni ground.
View attachment 2402979
Ukichukua za njano 3 na black 5 kutoka kwenye HDD power connectors, unatengeneza hiyo connector kwa urahisi kabisa.
Namna ya kutengeneza connector, tafuta ATX connector kama inayoonekana hapa chini, hesabu pin 8, au unaweza opt 4 mara 2, kata kisha zichomeke kwenye female connector ya GPU zikisha ingia inabaki kazi ya kuingiza zile wire za njano na nyeusi kwenye hiyo connector uliyokata.
Maelezo yanaweza kuchanganya kidogo, ila ni rahisi sana, usifanye makosa tu ya kugeuza polarity utachoma card.
Hizo atx connector unaweza kupata kwa mafundi kutoka kwenye PSU zilizokufa.
View attachment 2402983
Hii ni modular cpu mkuu ila itasaidia sana kukuelezeaNimechek inayo hizo 24 pin
Hapana hakuna pin zaid ya hio 24 na iyo 4 pin zilizobaki ni zile sata pin no extra pin nimechekHii ni modular cpu mkuu ila itasaidia sana kukuelezea
View attachment 2403268
Sio psu zote zipo hivi, nyengjne zinakuja na waya kabisa ila concept ni moja.
-Hio 20 ama 24 pin inaenda kwenye motherboard
-kunakuwa na pin zinazoenda kwenye cpu mara nyingi wanaandika kabisa kwenye kichwa hapo ina pin 8 ila kuna cpu zinapokea pin 4, mara nyingi hii pin 8 yake ni pin 4 mara 2.
-kuna sehemu imeandikwa pcie ina pin 8 ama 12 nayo hio ndo inaenda kwenye gpu inaweza kuwa hivi
1. Pin 6 na pin 2 hii ina maana unaweza chomeka gpu zote za pin 6 na pin 8. Pin 6 inatoa watts 75, pin 8 inatoa watts 150.
2. Pin 8 mara 2 kuna gpu zinahitaji power zaidi zikiwa 2 inamaana ni watts 300
3. Pin 12 ni watts 600,
-zipo hizo periphal ambazo unaconect sata based devices.
So mkuu kwako wewe ukitoa 24pin una pin ipi na ipi? Ipo ya cpu na pin extra?
Basi mkuu haitafaa kurun 580 hio. Maana Rx 580 TDP yake ni 185W inahitaji angalau single 8 pin connector.Hapana hakuna pin zaid ya hio 24 na iyo 4 pin zilizobaki ni zile sata pin no extra pin nimechek
Kuna kitu pia naitaji kama niivyo kwann pia nisi upgrade processor kutoka core i5 kwenda core i7 then ram pia nikafika 16 kutoka 8 pia nikipata izo card naisi naweza kupata performance ya juu zaidi hata kama sitocheza kwa high Ila mideum isio kuwa na lagh!Basi mkuu haitafaa kurun 580 hio. Maana Rx 580 TDP yake ni 185W inahitaji angalau single 8 pin connector.
Ila ukizunguka mtaani psu hukosi yamejaa kibao kkoo, ila kupata nzuri itabidi ununue nayo.
Gharama ya Mobo+Psu+Gpu ni bora tu uvizie deal la gtx 1650 ama rx 6400xt. Sababu hizi utapata mpya haijaguswa, hutahitaji kubadili kitu kwenye machine na japo zimepitwa perfomance na Rx 580 ila sio sana.
Kama Mfuko unaruhusu aingie Epic Computer{City Mall} ajipatie 750wBasi mkuu haitafaa kurun 580 hio. Maana Rx 580 TDP yake ni 185W inahitaji angalau single 8 pin connector.
Ila ukizunguka mtaani psu hukosi yamejaa kibao kkoo, ila kupata nzuri itabidi ununue nayo.
Gharama ya Mobo+Psu+Gpu ni bora tu uvizie deal la gtx 1650 ama rx 6400xt. Sababu hizi utapata mpya haijaguswa, hutahitaji kubadili kitu kwenye machine na japo zimepitwa perfomance na Rx 580 ila sio sana.
Utapata perfomance zaidi, ila kwa hilo game god of war linarun kwenye i5, wamendika kwenye requirements za game.Core i5 naona inazidiwa Sana performance na i7 kuna ukwer wowote hapa?
Mkuu watu wanatafuta Gpu za 170k hapa, hio ni parefu kweli. Sema ni psu nzuri na brand ya maana.Kama Mfuko unaruhusu aingie Epic Computer{City Mall} ajipatie 750wView attachment 2403815
Basi mkuu haitafaa kurun 580 hio. Maana Rx 580 TDP yake ni 185W inahitaji angalau single 8 pin connector.
Ila ukizunguka mtaani psu hukosi yamejaa kibao kkoo, ila kupata nzuri itabidi ununue nayo.
Gharama ya Mobo+Psu+Gpu ni bora tu uvizie deal la gtx 1650 ama rx 6400xt. Sababu hizi utapata mpya haijaguswa, hutahitaji kubadili kitu kwenye machine na japo zimepitwa perfomance na Rx 580 ila sio sana.
Psu inaleta umeme kutokana na inavyokuwa requested, uta request na nini hizo 180W, kama ni sata port ina max 75W.Kulingana na PSU yake anaweza run hiyo GPU.
Ukiangalia kwenye hiyo table ya Amps & voltages
Kwenye +12V rail ana 34A hivyo 12V rail inaweza deliver maximum of (12v x 34A)=408W
Kwa hivyo kuwepo au kutokwepo kwa hizo 8 pin au 6 pin connector hakuathiri uwezo wa PSU, kikubwa cha kuzingatia ni maximum power available kwenye +12v rail.
Tukienda kimahesabu
kama GPU maximum power consumption ni 185W
408-185= 223W
Hii 223W ndio itakayobaki kwenye matumizi ya componets zingine kama HDD, CDROM, CPU, n etc
View attachment 2404081
Ukiangalia vizuri PSU ya mdau haina SATA power connectors, bali inatumia Molex connectors hizi zina handle 11A at 12V.Psu inaleta umeme kutokana na inavyokuwa requested, uta request na nini hizo 180W, kama ni sata port ina max 75W.
Ambayo kutoka psu kwenda Gpu utatumia connector gani?Ukiangalia vizuri PSU ya mdau haina SATA power connectors, bali inatumia Molex connectors hizi zina handle 11A at 12V.
Hiyo limitation ya 75W ni kwenye connector kama connector na si voltage rail.