Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Swali langu sasa Hii 4 pin nimeona inaenda kwenye motherboard na kuna sehemu kwenye motherboard ya Hii
It means kwamba ukitaka kui convert hiii haito enda tena mwenye motherboard itaenda direct kweny GPU
Pc itafanya kazi vizuri kweri?
 
4 pin ni ya Cpu mkuu, hio psu yako haina pin 24?
 
Au ndio inabidi kupata converterView attachment 2402340
Unaweza ku modify hizo connector
Angalia pin out configuration ya card yako.

Hizo wire za njano ni 12V, na Black ni ground.

Untitled.png

Ukichukua za njano 3 na black 5 kutoka kwenye HDD power connectors, unatengeneza hiyo connector kwa urahisi kabisa.

Namna ya kutengeneza connector, tafuta ATX connector kama inayoonekana hapa chini, hesabu pin 8, au unaweza opt 4 mara 2, kata kisha zichomeke kwenye female connector ya GPU zikisha ingia inabaki kazi ya kuingiza zile wire za njano na nyeusi kwenye hiyo connector uliyokata.

Maelezo yanaweza kuchanganya kidogo, ila ni rahisi sana, usifanye makosa tu ya kugeuza polarity utachoma card.

Hizo atx connector unaweza kupata kwa mafundi kutoka kwenye PSU zilizokufa.

ATX-2420MF-XX-ATX-Power-Cable-24p-Female-to-20p-Female-003.jpg
 
Unaweza ku modify hizo connector
Angalia pin out configuration ya card yako.

Hizo wire za njano ni 12V, na Black ni ground.

View attachment 2402979

Ukichukua za njano 3 na black 5 kutoka kwenye HDD power connectors, unatengeneza hiyo connector kwa urahisi kabisa.

Namna ya kutengeneza connector, tafuta ATX connector kama inayoonekana hapa chini, hesabu pin 8, au unaweza opt 4 mara 2, kata kisha zichomeke kwenye female connector ya GPU zikisha ingia inabaki kazi ya kuingiza zile wire za njano na nyeusi kwenye hiyo connector uliyokata.

Maelezo yanaweza kuchanganya kidogo, ila ni rahisi sana, usifanye makosa tu ya kugeuza polarity utachoma card.

Hizo atx connector unaweza kupata kwa mafundi kutoka kwenye PSU zilizokufa.

View attachment 2402983
Naitaji kusoma zaidi hiii Kaka maana itanichanganya sanaa
 
Nimechek inayo hizo 24 pin
Hii ni modular cpu mkuu ila itasaidia sana kukuelezea
images.jpeg-22.jpg

Sio psu zote zipo hivi, nyengjne zinakuja na waya kabisa ila concept ni moja.

-Hio 20 ama 24 pin inaenda kwenye motherboard
-kunakuwa na pin zinazoenda kwenye cpu mara nyingi wanaandika kabisa kwenye kichwa hapo ina pin 8 ila kuna cpu zinapokea pin 4, mara nyingi hii pin 8 yake ni pin 4 mara 2.
-kuna sehemu imeandikwa pcie ina pin 8 ama 12 nayo hio ndo inaenda kwenye gpu inaweza kuwa hivi
1. Pin 6 na pin 2 hii ina maana unaweza chomeka gpu zote za pin 6 na pin 8. Pin 6 inatoa watts 75, pin 8 inatoa watts 150.
2. Pin 8 mara 2 kuna gpu zinahitaji power zaidi zikiwa 2 inamaana ni watts 300
3. Pin 12 ni watts 600,
-zipo hizo periphal ambazo unaconect sata based devices.

So mkuu kwako wewe ukitoa 24pin una pin ipi na ipi? Ipo ya cpu na pin extra?
 
Hii ni modular cpu mkuu ila itasaidia sana kukuelezea
View attachment 2403268
Sio psu zote zipo hivi, nyengjne zinakuja na waya kabisa ila concept ni moja.

-Hio 20 ama 24 pin inaenda kwenye motherboard
-kunakuwa na pin zinazoenda kwenye cpu mara nyingi wanaandika kabisa kwenye kichwa hapo ina pin 8 ila kuna cpu zinapokea pin 4, mara nyingi hii pin 8 yake ni pin 4 mara 2.
-kuna sehemu imeandikwa pcie ina pin 8 ama 12 nayo hio ndo inaenda kwenye gpu inaweza kuwa hivi
1. Pin 6 na pin 2 hii ina maana unaweza chomeka gpu zote za pin 6 na pin 8. Pin 6 inatoa watts 75, pin 8 inatoa watts 150.
2. Pin 8 mara 2 kuna gpu zinahitaji power zaidi zikiwa 2 inamaana ni watts 300
3. Pin 12 ni watts 600,
-zipo hizo periphal ambazo unaconect sata based devices.

So mkuu kwako wewe ukitoa 24pin una pin ipi na ipi? Ipo ya cpu na pin extra?
Hapana hakuna pin zaid ya hio 24 na iyo 4 pin zilizobaki ni zile sata pin no extra pin nimechek
 
Basi mkuu haitafaa kurun 580 hio. Maana Rx 580 TDP yake ni 185W inahitaji angalau single 8 pin connector.

Ila ukizunguka mtaani psu hukosi yamejaa kibao kkoo, ila kupata nzuri itabidi ununue nayo.

Gharama ya Mobo+Psu+Gpu ni bora tu uvizie deal la gtx 1650 ama rx 6400xt. Sababu hizi utapata mpya haijaguswa, hutahitaji kubadili kitu kwenye machine na japo zimepitwa perfomance na Rx 580 ila sio sana.
 
Kuna kitu pia naitaji kama niivyo kwann pia nisi upgrade processor kutoka core i5 kwenda core i7 then ram pia nikafika 16 kutoka 8 pia nikipata izo card naisi naweza kupata performance ya juu zaidi hata kama sitocheza kwa high Ila mideum isio kuwa na lagh!
 
Core i5 naona inazidiwa Sana performance na i7 kuna ukwer wowote hapa?
 
Basi mkuu haitafaa kurun 580 hio. Maana Rx 580 TDP yake ni 185W inahitaji angalau single 8 pin connector.

Ila ukizunguka mtaani psu hukosi yamejaa kibao kkoo, ila kupata nzuri itabidi ununue nayo.

Gharama ya Mobo+Psu+Gpu ni bora tu uvizie deal la gtx 1650 ama rx 6400xt. Sababu hizi utapata mpya haijaguswa, hutahitaji kubadili kitu kwenye machine na japo zimepitwa perfomance na Rx 580 ila sio sana.
Kama Mfuko unaruhusu aingie Epic Computer{City Mall} ajipatie 750w
Screenshot_20221101-114933_Chrome.jpg
 
Core i5 naona inazidiwa Sana performance na i7 kuna ukwer wowote hapa?
Utapata perfomance zaidi, ila kwa hilo game god of war linarun kwenye i5, wamendika kwenye requirements za game.

Kujua kama i7 itakusaidia ama la, run hilo GOW kwa 480p low quality angalia utapata fps ngapi, hizo ndio fps za cpu, ukipata gpu kubwa itarun game kwa fps hizo hizo.
 
Basi mkuu haitafaa kurun 580 hio. Maana Rx 580 TDP yake ni 185W inahitaji angalau single 8 pin connector.

Ila ukizunguka mtaani psu hukosi yamejaa kibao kkoo, ila kupata nzuri itabidi ununue nayo.

Gharama ya Mobo+Psu+Gpu ni bora tu uvizie deal la gtx 1650 ama rx 6400xt. Sababu hizi utapata mpya haijaguswa, hutahitaji kubadili kitu kwenye machine na japo zimepitwa perfomance na Rx 580 ila sio sana.

Kulingana na PSU yake anaweza run hiyo GPU.

Ukiangalia kwenye hiyo table ya Amps & voltages

Kwenye +12V rail ana 34A hivyo 12V rail inaweza deliver maximum of (12v x 34A)=408W

Kwa hivyo kuwepo au kutokwepo kwa hizo 8 pin au 6 pin connector hakuathiri uwezo wa PSU, kikubwa cha kuzingatia ni maximum power available kwenye +12v rail.

Tukienda kimahesabu
kama GPU maximum power consumption ni 185W
408-185= 223W

Hii 223W ndio itakayobaki kwenye matumizi ya componets zingine kama HDD, CDROM, CPU, n etc
IMG_20221031_114537.jpg
 
View attachment 2404081
Psu inaleta umeme kutokana na inavyokuwa requested, uta request na nini hizo 180W, kama ni sata port ina max 75W.
 
Ukiangalia vizuri PSU ya mdau haina SATA power connectors, bali inatumia Molex connectors hizi zina handle 11A at 12V.

Hiyo limitation ya 75W ni kwenye connector kama connector na si voltage rail.
 
Ambayo kutoka psu kwenda Gpu utatumia connector gani?
 
Katika pita pita zangu nimekutana na Hii jamaa anauza ni Watts 400
1667313342706.jpg
 
Back
Top Bottom