Muosha Magari apatisha ajali gari lenye thamani zaidi ya Milioni 100. Akutwa anaruka sarakasi

Mwaka 2011 gari ya mzee ilipata ajali haikua bima kubwa iliyokatwa ila tulijibiwa haiwezi kua covered kwa kua dereva hakua yeye. Na gari haikua na 'non owner liability insurance'.

So since then. Mimi najua hivyo. Haya maneno yako ya jikoni sioni yanatokea wapi.
 
Kwanini umesema hivi? unadhani mwenye gari hiyo anashindwa kwa mwaka kulipa 980K au 1.2mill iwe ulinzi wake kwa emergency kama hizi?

Then kama analipa hivi kwanini isiwe msaada kwake?
Hapo bima haifanyi kazi, ni kama kuliteketeza gari makusudi ili ulipwe. Mbaya zaidi hawa madogo wa car wash hawana hata leseni.
 
Kama huyo dogo ana leseni analipwa, ila kama hana leseni ni kesi nyingine.
 

Kama anayeendesha si mmiliki hulipwi bima, reference ni gari ya mzee ilipata ajali tukajibiwa hivyo.

Hapo kwenu mkishajibiwa utafiti wa uhalali wa majibu humuufanyi.

Mnahitimisha ni mpaka kiama kuwa hilo ndo jibu sahihi yaani. Hongereni sana.
 

Iko hivi, Bima ndogo (3rd Party Insurance) maana yake ni kuwa haitengenezi chombo husika BALI ukigonga chombo kingine, yenyewe itatengeneza kile chombo kingine pekee tena kutegemeana na uharibifu. Huyo aliye waambia hivyo aliona asipoteze muda wake kuwaelimisha.
 
Sasa mkuu bima ndogo itamlipaje. Jifunze kuhusu third party liability.
Kingine, ukiwa na bima kubwa (comprehensive) unalipwa hata kama aliyeendesha babu yako. Huyo Mtu wa bima ama ni kilaza au aliamua kusema hivyo ili msimsumbue
 
Hapo bima haifanyi kazi, ni kama kuliteketeza gari makusudi ili ulipwe. Mbaya zaidi hawa madogo wa car wash hawana hata leseni.
Ni nani atakayethibitisha lengo la hiyo ajali ilikuwa kuteketeza gari makusudi ili kulipwa jipya?

Shida ipo hapo kama msababisha ajali hakuwa na leseni (obviously kwa muonekano huo license hawezi kuwa nayo) ila kama ana leseni huyo analipwa.
 
Bima iwe Third Party, halafu iwe gari ya mkopo. Mbaya sana. Unaweza ukajiona kama dunia yote ipo kichwani kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…