Muosha Magari apatisha ajali gari lenye thamani zaidi ya Milioni 100. Akutwa anaruka sarakasi

Muosha Magari apatisha ajali gari lenye thamani zaidi ya Milioni 100. Akutwa anaruka sarakasi

Ni nani atakayethibitisha lengo la hiyo ajali ilikuwa kuteketeza gari makusudi ili kulipwa jipya?

Shida ipo hapo kama msababisha ajali hakuwa na leseni (obviously kwa muonekano huo license hawezi kuwa nayo) ila kama ana leseni huyo analipwa.
anaonekanaje mkuu? haki nimecheka
 
Iko hivi, Bima ndogo (3rd Party Insurance) maana yake ni kuwa haitengenezi chombo husika BALI ukigonga chombo kingine, yenyewe itatengeneza kile chombo kingine pekee tena kutegemeana na uharibifu. Huyo aliye waambia hivyo aliona asipoteze muda wake kuwaelimisha.
Umemjibu vyema yeye mzee wake ndo kamwambia hivyoo. Alimwambia hivyoo maana anajua mtoto wake Hamna kitu anajua zaidi ya kuangalia tamthilia za kifipino na kuvaa suruale zilizo chanika chanika.
 
Hivi dogo wa car wash anaweza kulipa gharama ya Ranger ya zaidi ya 100 milioni? Be serious man
Utamu zaidi ni kwamba aligongana na gari nyingine pia pale mbele ya kona ya morena njia ya kuelekea Makulu/UDOM

Ukiangalia vizuri kuna brevis nayo imebinuka tako juu

Kwahiyo Ranger+ Brevis lazima ujifanye kung fu snake monkey shedo
 
Muosha Magari wa Dodoma alichukua gari aina ya ford ranger lililokua linatakiwa kuoshwa na kwenda kuliendesha lakini kwa bahati mbaya alipata nalo ajali baada ya kuingia Barabarani.



Ni maumivu makubwa kwa mwenye gari maana kuna mdau kapost ushahidi hii gari haina Bima, Ni hasara tupu kwa mwenye gari, Ushauri wangu ni akalinyooshe tu maana kuna uwezekano wa kulirudisha katika hali yake ya kawaida


1627983825554.png
 
Back
Top Bottom