Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Mengi yana bima za mazabe usione yanatembea barabarani mengi yanabima famba. Kua uyaone mwanangu.huyo jamaa anapata kichaa cha nini wakati gari ina comprehensive insurance
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mengi yana bima za mazabe usione yanatembea barabarani mengi yanabima famba. Kua uyaone mwanangu.huyo jamaa anapata kichaa cha nini wakati gari ina comprehensive insurance
hio comprehensive insurance wabongo wachache wanayo wngi wanatumia tu hizi third party za laki 1, huwa zinahusisha tu watu au mali za watu utaowasababishia madhara mfano kugonga mtu au wanyama au gari,huyo jamaa anapata kichaa cha nini wakati gari ina comprehensive insurance
Iwapo huyo dogo hana leseni bima haitalipahuyo jamaa anapata kichaa cha nini wakati gari ina comprehensive insurance
Bima hii imekwisha siku 228 zilizopitahuyo jamaa anapata kichaa cha nini wakati gari ina comprehensive insurance
Hata mim nshawai tumia fake kipind flan...maana comprehensive yake inafika 800k+Mengi yana bima za mazabe usione yanatembea barabarani mengi yanabima famba. Kua uyaone mwanangu.
mjini connection mkuu naamini hadi anunue gari kama iyo atakua na connection ya kutosha kufanya manuva alipwe kama walivyofanya la Chaz sinza ni insurance scam imetikiIwapo huyo dogo hana leseni bima haitalipa
du hapa imejambaBima hii imekwisha siku 228 zilizopita
Acha dogo aendelee kujidai chizi ila ingekua gari yangu akili ingemkaa sawa ndan ya dakika 15 View attachment 1878342
Kwani mirembe hapo nauli si buku tu .... Wampeleke hapo chap. Atakuwa formated to FACTORY SETTINGS.Bima hii imekwisha siku 228 zilizopita
Acha dogo aendelee kujidai chizi ila ingekua gari yangu akili ingemkaa sawa ndan ya dakika 15 View attachment 1878342
Mirembe hawampokei huyo wakimuona tu wanajua ni mzima anacheza sinema zetu hapo akipigwa mijeledi 6 ataongea vizuriKwani mirembe hapo nauli si buku tu .... Wampeleke hapo chap. Atakuwa formated to FACTORY SETTINGS.
mkuu gari ni lawama usije muazima mtu mi juzi kati nimemuazima gari mtu kailudisha usiku kimya kimya kumbe kakwanyua side mirror yote imetoka kaniachia msalaila hizo sarakasiii hahaaaa
..ukute gari mkopo haujamaliziwa kulipwa...
nimejifunza, nkienda maeneo ya kuoshea gari, namkabidhi funguo bosi, yeye ndo awape vijana wake ufunguo
Utamfanyaje mtu mwenyewe masikini mkuu!??[emoji23][emoji23]Bima hii imekwisha siku 228 zilizopita
Acha dogo aendelee kujidai chizi ila ingekua gari yangu akili ingemkaa sawa ndan ya dakika 15 View attachment 1878342
Ngoja niwape story yangu, Mimi niliazima tayota ist kwa rafiki yangu ili niwahi safari nioliokuwa naiendea, baada kupewa Gari Safi kabisa bado mpya Ina week mbili nikanyoosha goti vizuri safari yangu nikaenda maana ilikuwa mkoa Hadi mkoa mwingine.Hahahhaha mambo mengine yanachekesha ila ni mahatma
Embu tupe stori
Muosha..anaenda..kuoshwa..Mkuu umemaliza kazi, hakuna msamaha [emoji1787][emoji205]