Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
[emoji1752]!Mzee umeniambia nikae kimya kwavile sijui halafu unasema tunajifunza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1752]!Mzee umeniambia nikae kimya kwavile sijui halafu unasema tunajifunza?
Una uhakika gani Kama kapata gari Hilo kwa njia ya ushirikina!?Haya ndio madhara ya kupata mali kwa njia ambazo zina mazonge
Kuna mahali nimetaja ushirikina?Una uhakika gani Kama kapata gari Hilo kwa njia ya ushirikina!?
Kwamba ukikata bima ya gari ni Lazima uwe unaendesha wewe hilo gari? Mkuu acha kutia aibu JFHaiwezi kumsaidia kwakua hakua anaendesha yeye.
Nini hiki?Kwamba ukikata bima ya gari ni Lazima uwe unaendesha wewe hilo gari? Mkuu acha kutia aibu JF
Hii ya third part ni section A, section B ni kama gari ni ya mkopo na bado unakatwa kwenye mshahara. Kila mwezi wanalamba laki mbili na nusu.Habari wakuu, tunakumbushana kuweni makini na waosha magari mnapowaachia funguo wakati wa kuosha dinga zenu, Jamaa kapeleka gari aina ya Ford Ranger carwash huku Dom kaacha funguo na kuondoka, mwoshaji kamaliza akachukua ford ranger ya Mteja kwenda kutamba nalo, kilichotokea kala mzinga ndinga haitamaniki yeye kapata uchizi wa ghafla.
View attachment 1877570View attachment 1877572
View attachment 1877571
Huyu jamaa mwenye kibukta ndo mwoshaji, hiyo video ndo inaonyesha kichaa cha ghafla alichopata, sipati picha mmiliki ana hali gani hiki ndo ukute alikuwa na third party tu.
Kuyumba mwonekano wa awali nilazima
Vaa uhalisia ndo upo kwenye dinga na hujui kuendesha imetokea hivyo
Uwe ndo wewe [emoji239][emoji239][emoji239][emoji239][emoji239][emoji28][emoji239][emoji239][emoji239]
Huyo kachanganyikiwa.. Kuna mmoja alifanya tukio kama hilo ni houseboy.. Yeye baada tu ya kuwasha akaweka rivasi akakanyaga mafuta..gari ikarudi nyuma mpaka geti la jiraniHakuna chiz hapo, ni maigizo tu!
Ukute Ilikuwa amedhurumu hapo??Haya ndio madhara ya kupata mali kwa njia ambazo zina mazonge
[emoji3] sio yeye ni nan sasaHugo kachanganyikiwa.. Kuna mmoja alifanya tukio kama hilo ni houseboy.. Yeye baada tu ya kuwasha akaweka rivasi akakanyaga mafuta..gari ikarudi nyuma mpaka geti la jirani
Ku on a kakosea akaweka D gari ikarudi ilipotoka na kutua kwenye kiambaza..gari ilikuwa GX90 baloon ikawa kama beetle .. Aliposhuka akaanza kukimbia mtaani huku akipiga kelele kuwa sio yeye
tena hajaulizwa bado itabidi ataje sasa nan alikuwepo yeye tuHugo kachanganyikiwa.. Kuna mmoja alifanya tukio kama hilo ni houseboy.. Yeye baada tu ya kuwasha akaweka rivasi akakanyaga mafuta..gari ikarudi nyuma mpaka geti la jirani
Ku on a kakosea akaweka D gari ikarudi ilipotoka na kutua kwenye kiambaza..gari ilikuwa GX90 baloon ikawa kama beetle .. Aliposhuka akaanza kukimbia mtaani huku akipiga kelele kuwa sio yeye
Ninajaribu kufumba macho na kuwaza Espy anapiga sarakasi. Mngemalizana tu.Weeeh hapo parefu hata mimi ningepiga sarakasi tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo siku ile walihisi anaigiza? Kumbe akili zimefyatuka mazimaKuna fund garage alkua anatest carna ya mwanajesh mmoja s akaitwanga kwenye daraja mpka Leo jamaa zmeruka mazima na ilkua hiv hiv kama masiara kumbe ndio kachiz kwel tuheshimuni mal za watu mana ukipga hesabu wew hata naul ya kurud getho huna alafu umeutwanga chin mzgo wa mtu lazma plug moja ifyatuke kichwan
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ninajaribu kufumba macho na kuwaza Espy anapiga sarakasi. Mngemalizana tu.