Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
Hizi mali nyingi nyingi kuna za halali?Kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi mali nyingi nyingi kuna za halali?Kabisa
muhimu bima hata awe huyo boss utamkuta anaruka sarakasi kama huyo dogoila hizo sarakasiii hahaaaa
..ukute gari mkopo haujamaliziwa kulipwa...
nimejifunza, nkienda maeneo ya kuoshea gari, namkabidhi funguo bosi, yeye ndo awape vijana wake ufunguo
Kuna baadhi ya Makampuni ya Bima ama ndio tabia ya Kampuni ama uzembe wa wafanyakazi wao unakata bima alafu awaingizi kwenye System ya Bima, sina ufahamu na hiyo system ila nahisi kama wasipoingiza basi baada ya mwaka Bima kuisha kiasi cha pesa ambacho kilipaswa kipelekwe sehemu husika hakipelekwi.Sometimes data zinachelewa kuwa uploaded na hizi kampuni. Hawajawa competent sana kwenye IT. Mie huwa natembea na makaratasi ya Bima, kwa sababu sometimes TIRA MIS huwa haisomi vizuri.
ila hizo sarakasiii hahaaaa
..ukute gari mkopo haujamaliziwa kulipwa...
nimejifunza, nkienda maeneo ya kuoshea gari, namkabidhi funguo bosi, yeye ndo awape vijana wake ufunguo
Huo uhuni ulikuwepo sana, na naamini bado upo. Ila wamerekebisha sana mambo.Kuna baadhi ya Makampuni ya Bima ama ndio tabia ya Kampuni ama uzembe wa wafanyakazi wao unakata bima alafu awaingizi kwenye System ya Bima, sina ufahamu na hiyo system ila nahisi kama wasipoingiza basi baada ya mwaka Bima kuisha kiasi cha pesa ambacho kilipaswa kipelekwe sehemu husika hakipelekwi.
Nilishahama Kampuni 1 ya Bima baada ya kukata nikawa kila mara nachungulia kwenye system ya Bima kama imeingizwa na mhusika nampigia simu akawa ana ahidi tunaingiza, ilichukua kama wiki 6 ndio ikawa imeingizwa kwenye system ya Bima, baada ya Mwaka bima inakaribia kuisha akanipigia simu nikamwambia husijali nitakwenda kampuni nyingine yennye kujielewa sababu uwa nina gari jingine nakata kwao na nikikata ndani ya muda mfupi wameshaingiza kwenye system.
Hiyo portal hamna kitu jamaa wako slow sana kuna gari hapa ina bima tangu mwaka juzi.. wenyewe wameandika bima imeisha siku 630 zilizopita. IT wa bongo utopolo tu.Bima hii imekwisha siku 228 zilizopita
Acha dogo aendelee kujidai chizi ila ingekua gari yangu akili ingemkaa sawa ndan ya dakika 15 View attachment 1878342
Huo uhuni bado upo mpaka leo...kuna gari ya boss mmoja ilishataka kuniletea msala nimelipia bima 2.5m comprehensive mwezi wa tatu, jamas akachungulia TIRA MIS inasema bima imekwisha siku kadhaa...jamaa akawa anataka kusema nimemtapeli...tulienda moja kwa moja ofisini kwao nikawasha moto balaa ndio wakaiweka na penyewe baada ya wiki 2Huo uhuni ulikuwepo sana, na naamini bado upo. Ila wamerekebisha sana mambo.
Hoja nzuri hii. Mwenye sikio na asikieKama wamiliki gari ya zaidi ya shilingi 100milioni kwanini usinunue ka- jetwash kako mwenyewe na vifaa vya kuoshea bei rahisi kabisa.
Waosha Jumamosi au Jumapili nyumbani kwako?
Gari la milioni 100 huwezi tu kumpatia mwosha magari wa mitaani aoshe na umpe funguo juu, huo ni ujinga.
Lazima ufahamu anatumia maji yepi, sabuni ya aina gani? na hata fagio ni zipi atumia kufagia ndani ya gari.
Ila haingiii akilini kwenda kulikabidhi gari kama hilo kwa mtu baki ambae huna uhakika na taarifa zake.
Ukisikia mitihan dunian ndo kama hii Sasa Sasa muosha magari atatoa wap hela ya ford ranger million 120 jamaa inabidi asamehe tu maana hata akimfunga haisaidii bado.
NB:
Hata mimi ningejifanya kichaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
bima yenyewe ime expireHapo bima haifanyi kazi, ni kama kuliteketeza gari makusudi ili ulipwe. Mbaya zaidi hawa madogo wa car wash hawana hata leseni.
sio akauze figo mkuu pale Regency hospital kwa madoni aje alipe deniComprehensive insurance wakati dereva hana leseni,kama Mimi ndio mwenye gari tunaingia mkataba wa kumtatua marinda kwa muda usiojulikana mpaka adebedwe kama akina James Delicious
Pia ili alipwe kwa hii inshu kwenda viral inahitaji apike data haswa,kwanza dereva kama ana leseni,pili alimpa ruhusa kuendesha,tatu apike mchoro na polisi..ila kama wametumia gia ya dogo kawa chizi kabla ya kukwapua funguo za gari bado kesi ngumu...bima watataka cheti au historia ya ugonjwa wa huyo mtu,bado waende hosp wapike data pesa inatoka tu hapo...Hiyo gari ni total loss.. Ni beyond repair.. Bima watakata less excess 5% na depreciation kisha inayobaki atapewa mmiliki lakini kama tu alikuwa na bima kubwa.
Vile vile wanaweza kumkata percent za uzembe.
NB: Kama bima ni NIC au ZIC ajiandae kwa maumivu ya kufuatilia
😂😂😂Ukisikia mitihan dunian ndo kama hii Sasa Sasa muosha magari atatoa wap hela ya ford ranger million 120 jamaa inabidi asamehe tu maana hata akimfunga haisaidii bado.
NB:
Hata mimi ningejifanya kichaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzee et wewe ungefanya nini hapo KWA haraka haraka[emoji23][emoji23][emoji23]
Nina mawazo kama yako. Ila Tanzania kwa watu kujifanya ma-boss ni kiboko. Hivi inakuwaje mtu anashindwa kuosha gari mwenyewe? Na mwenye gari utakuta pengine ana bonge la kitambi, akitembea hatua mbili anahema kama chura! Anyways, hata kama huwezi kuosha mwenyewe kwa nini ulipeleke sehemu uwaachie na funguo? Kwa nini usisubiri mpaka wamalize! Nasema hivi kwa sababu Tanzania watu wengi wala hawako busy kiasi cha kushindwa kuosha gari wenyewe au kusubiri. Wengu inakuta analiacha sehemu hivyo anakwenda bar kunywa.Kama wamiliki gari ya zaidi ya shilingi 100milioni kwanini usinunue ka- jetwash kako mwenyewe na vifaa vya kuoshea bei rahisi kabisa.
Waosha Jumamosi au Jumapili nyumbani kwako?
Gari la milioni 100 huwezi tu kumpatia mwosha magari wa mitaani aoshe na umpe funguo juu, huo ni ujinga.
Lazima ufahamu anatumia maji yepi, sabuni ya aina gani? na hata fagio ni zipi atumia kufagia ndani ya gari.
Ila haingiii akilini kwenda kulikabidhi gari kama hilo kwa mtu baki ambae huna uhakika na taarifa zake.
Nimejiuliza pia, mi naona kama hii story haijatimiaKwa ajali hiyo bado anauwezo wa kuruka sarakasi!?