Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuwa mleta ajali kageuka chizi bima itabidi walipe tu.Bima haiangalii nani alikuwa anaendesha bali inangalia aliyekuwa anaendesha alikuwa na leseni sahihi ya kuendesha chombo husika
Ukachomokaje mkuuiliwahi kunikuta hiyo,
Mkuu, zikifika zimefika tu, hata angeosha wapi. Kuna yule dereva wa RC mara alipark gari home kwake the next thing mwanae akapita nalondio matokeo ya kuosha gari vichochoroni...
lazima ukutane na wahuni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daah nimekumbuka mbali Sana na ist ya mtu nilikimbia huku sijui ninakoelekea
[emoji28][emoji28][emoji28]Ngoja niwape story yangu, Mimi niliazima tayota ist kwa rafiki yangu ili niwahi safari nioliokuwa naiendea, baada kupewa Gari Safi kabisa bado mpya Ina week mbili nikanyoosha goti vizuri safari yangu nikaenda maana ilikuwa mkoa Hadi mkoa mwingine.
Wakati narudi kutoka safari yangu nikiwa njiani nipo kwa road la vumbi na speed ya 70 hivi ghafla Ng'ombe mbele yangu anakatiza Barabara nilitupia mgu kwa brake Gari ikakubali lakini ikaenda pembeni kidogo, bwana we sijui ibilisi gani kanijaa nikajikuta nimetupia mguu kwenye Moto tena la haula Gari iliruka na kuzunguka Kama Mara 4 hivi ikatulia ndugu yangu natoka pale Sina hili Wala lile nikaangalia huku na kule hakuna mtu kucheki Gari ya mtu imeisha yaani.
Nilichomoka mbio hizo alafu sijui naenda wapi na Sina mpangilio wowote kichwani nakuja kusimama najishangaa kwanza Sasa naenda wapi alafu nimeacha kila kitu kwenye gari na documents muhimu ambazo hatakiwi mtu kuziona looh nikarudi Tena speed nikafika nikakunja doc zangu kwanza nikavua vyatu nikaanza kutembea peku nilikuwa nimefunga tai aisee
Itaendeleaa.............[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Umejuaje haina?Hata bima haina msaada hapo.
Tuheshimu mali za watu.
Raum inakutoa roho hivyo ingekuwa ni huyu wa Ranger mbona Uviko ungeamka weweIliwahi nitokea miaka 12 iliyopita. Mwoshaji baada ya kuosha alienda kukata mitaa na dinga yangu...TOYOTA RAUM NEW MODEL, enzi hizo Dar nzima zilikuwepo mbili tu...Nilipagawa balaa sikula chakula zaidi ya wiki!
Ndugu usiwe mbishi bima inategemea vitu vingi. Sio universal Kama unavyotka wewe. Bima ni mkataba.. je mkataba unasemajee?? All in all hkna excuse kma leseni hkna ninavyujua. Tuendelee kuelimishanaSasa mkuu bima ndogo itamlipaje. Jifunze kuhusu third party liability.
Kingine, ukiwa na bima kubwa (comprehensive) unalipwa hata kama aliyeendesha babu yako. Huyo Mtu wa bima ama ni kilaza au aliamua kusema hivyo ili msimsumbue
Nilikuwa nashangaa wanaosema gari haina bima. Kuna link ya zamani ukiingia utaona gari haina bima Ila hii ndio huwa ipo accurate.Wengi naona wanasema wanasema gari haina bima ila inayo tena bima kubwa kupitia system mpya ya tiramis unaiona fresh imekatwa kampuni ya UAP.
Changamoto kubwa nayo iona ni dogo kutokuwa na leseni hii itamkosesha mwenye gari malipo.
View attachment 1878916
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzima huyo.
Anaigiza kurukwa na akili ili kuua soo na sarakasi zake za kupiga beki
Bora afungwe ili akitoka awe na heshima na Mali za watu,Ukisikia mitihan dunian ndo kama hii Sasa Sasa muosha magari atatoa wap hela ya ford ranger million 120 jamaa inabidi asamehe tu maana hata akimfunga haisaidii bado.
NB:
Hata mimi ningejifanya kichaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sidhani kama bima watalipa ...huu ni uzembe wa mwenye gari,muhimu bima hata awe huyo boss utamkuta anaruka sarakasi kama huyo dogo
Siyo lazima awe anaendesha mwenyewe. Muhimu anayeendesha awe ni qualified driver akiwa amepata ridhaa/ ruhusa ya mwenye gari kuliendeshaHaiwezi kumsaidia kwakua hakua anaendesha yeye.