Muosha rungu live interview on johanah's show!

kati ya hao mababe mama wako wawili, je kuna mmoja ambaye utatamani kumuoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawashukuru sana sana labda niseme mno kwa
Kwanza kuonyesha upendo Na ukarimu Wa hali ya juu kwa kutofikilia kutoa mimba

Pili kwa kukatisha masomo yao Na kukubali kulea mimba kwa miezi Tisa

Tatu kwa kuendelea kuonyesha mapenzi Na mm japo sijawaoa Na bado huhakikisha kuwa Nina mahusiano mazuri Na watoto

Mwisho kwa malezi mazuri mmoja ni nesi mwingine ni banker

Pamoja Na yote watabaki kuwa wazazi wenzangu sio mke

DJ sepetu
 
sawa mkuu endelea tu kuosha rungu lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
anaosha rungu au anaoshwa tigo yake huyo? wanaume woote humu ndani hatuko kama yeye anayeongea mambo kama demu. pelekeni umbeya wenu huko. si ukute mko naye salon huyo jamaa anaosha kucha kama ninyi.
 
anaosha rungu au anaoshwa tigo yake huyo? wanaume woote humu ndani hatuko kama yeye anayeongea mambo kama demu. pelekeni umbeya wenu huko. si ukute mko naye salon huyo jamaa anaosha kucha kama ninyi.
Umenichekesha chalii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]

DJ sepetu
 
Leo na wewe una kaangwa[emoji23][emoji23]
 
anaosha rungu au anaoshwa tigo yake huyo? wanaume woote humu ndani hatuko kama yeye anayeongea mambo kama demu. pelekeni umbeya wenu huko. si ukute mko naye salon huyo jamaa anaosha kucha kama ninyi.
Fanya mambo yako mkuu..kwani lazima ufanane na yeye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…