Muosha rungu live interview on johanah's show!

Muosha rungu live interview on johanah's show!

Point of correction mmoja ndio binti mwingine ni Wa kiume
Wote wako kwa mama zao kwa kuwa bado wadogo mkubwa ana miaka 4
Ninajilinda kwa kufuata njia za family planning

DJ sepetu
Nilipobold na kupigia mstari hapo..unawaambia nini walio katika mahusiano kuhusu hili swala la uzazi wa mpango?
Nini msimamo wako kuhusu suala la abortion?

Unaweza kuoa mmoja kati ya mama watoto wako?
 
Nilipobold na kupigia mstari hapo..unawaambia nini walio katika mahusiano kuhusu hili swala la uzazi wa mpango?
Nini msimamo wako kuhusu suala la abortion?

Unaweza kuoa mmoja kati ya mama watoto wako?
Ni suala zuri ila njia nzuri ni zile zisiso Na madhara makubwa ya kiafya! MF vidonge vina side effects kibao
Bora kufuata kalenda
Kuna dada mmoja alinifuata nimpe hela akatoe mimba kiukweli nilimpeleka polisi!

DJ sepetu
 
Awali ya yote niwapongeze wadada warembo wote Wa jf kwa ukarimu Na ucharming wao!
Pili niupingeze uongozi Wa jf kwa kunikubalia Ku host show zangu hapa
Nilijiita hili jina kutokana Na historia ya mwalimu wangu mmoja ambaye alikuwa akinitania"hausomi kazi kuosha rungu tu" basi nikalipenda sana

DJ sepetu
Nini maana ya rungu kama unavyolitumia hapa na huko shuleni kwako?
 
Back
Top Bottom