Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
- Thread starter
- #101
Nilipobold na kupigia mstari hapo..unawaambia nini walio katika mahusiano kuhusu hili swala la uzazi wa mpango?Point of correction mmoja ndio binti mwingine ni Wa kiume
Wote wako kwa mama zao kwa kuwa bado wadogo mkubwa ana miaka 4
Ninajilinda kwa kufuata njia za family planning
DJ sepetu
Nini msimamo wako kuhusu suala la abortion?
Unaweza kuoa mmoja kati ya mama watoto wako?