Muosha rungu live interview on johanah's show!

Muosha rungu live interview on johanah's show!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] sio urembo wake tu of course uzuri wake ndio ulinivuta first time lakini baada hustlers zake Na namna alivyoweza kugeuza umaarufu wake kuwa biashara ndipo aliponiua kabisa!
Niambie miss Tanzania yupi aliye hit kama wema of course Na mwenye mafanikio
Don't be bias!

DJ sepetu
Na ndio anayejulikana kwa kuchezea marungu ya wengi...wema anahit kweli ila kuhit kwake ni kwa ujinga mwingi kuliko ya maana

Hivi kaishia la ngapi yule?
 
Umeonaaa.
Sorr kaka Jose avatar umeifanyajeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeahhhh....


Avatar nimeifanyia mabadiliko kidogo kujitofautisha na watu fulani hivi wawili wanaoitumia..na hii ilitokea wakati nilipokuwa kimya wakajiunga wakaichukua na kuweka kwenye profile zao....Watu wakahisi ni mimi labda nimefungua ID nyingine kumbe sio
 
Uwezo wako darasani ulikuwaje?
Ulishawahi kupata 0 katika maisha yako ya shule?
Somo unalolimudu sana ni lipi?

Kipi unatushauri sisi wadogo zako ambao bado tupo katika issues za kusoma?
Ngoja niwe mkweli
Kidato cha kwanza term ya kwanza nilikuwa Wa tatu kati ya pupils 200

Baada ya hapo sikuwahi kushika namba 2 ni 1

Nilipenda sana commerce ,book keeping Na mathematics Na historia o level,advance nikasoma ECA
Niwashauri kuwa soma unachopenda Na sio mzazi anachopenda!

DJ sepetu
 
Na ndio anayejulikana kwa kuchezea marungu ya wengi...wema anahit kweli ila kuhit kwake ni kwa ujinga mwingi kuliko ya maana

Hivi kaishia la ngapi yule?
Swali zuri kama utamtafuta mwenyewe[emoji23] [emoji23]

DJ sepetu
 
"Of she is also brilliant"
Ndo maan ili lilugha clipend kupita maelezo cjui itakuaj nikiwekwa kikaangon wakataka nilizngumze kweny watu wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu kinaitwa kupitiwa tu kimaandishi kama ilivyo kimaneno mtu anavyochapia
We all make mistakes...tuelewe tu mkuu
 
Back
Top Bottom