PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
Yuko na depression saiziIs she not?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko na depression saiziIs she not?
HahahaTangu uanze kufanya interview humu hujawahi kuifanya kwa wanaume...
Kwanini?
Kiufupi ulikuwa player?
😁😁😁😁😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo muosha rungu upo kikaangoni. Safi
Siku hizi hu comment kabisa
Carlos The Jackal huyu dem ndo ulikua una muulizia!!Not such hiyo vepe na ratio umechora!! Au wewe calisah?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha mkuuu achaAsee watu wametoka mbali na hii jeiefu
Ngoja niwe mkweli
Kidato cha kwanza term ya kwanza nilikuwa Wa tatu kati ya pupils 200
Baada ya hapo sikuwahi kushika namba 2 ni 1
Nilipenda sana commerce ,book keeping Na mathematics Na historia o level,advance nikasoma ECA
Niwashauri kuwa soma unachopenda Na sio mzazi anachopenda!
DJ sepetu
J4Mbona kama leo alhamis