Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Murtaza ni mtoto wa mjini kwelikweli, kwenda kugombea maporini kule ubunge unaokota tu kwa gharama nafuu lakini stahiki za mbunge wa mjini na maporini ziko sawa.Mbona amekaa kishamba kishamba sana? Na ikawaje akashindwa kuwa Mbunge hapo mjini hadi akaenda kugombea kule maporini? Hiyo inayoonyesha wapo wa mjini zaidi yake.
Uliona wapi mtu atoke Bunda aje kumchimba mkwara mtu aliyezaliwa Libya Street na kukulia Uhindini?Vitisho vyako haviwezi kumwondoa hivi hivi aachie tonge mkononi
Una mpango wowote wa Kumzalia Murtaza Mangungu? Manake si kwa Sifa hizi unazompa na unaonekana unapenda sana Wanaume wa Mjini.Uliona wapi mtu atoke Bunda aje kumchimba mkwara mtu aliyezaliwa Libya Street na kukulia Uhindini?
Kama alishindwa kwa Akili zilezile zilizo tengeneza tatizo la Sasa akili hizo alizonazo zitawezaje kuisogeza Simba mbeleWewe nawe na huyo Mangungu mbona unamtetea sana au una siri kwamba akiendelea kuwepo hapo Simba itaendelea kufanya vibaya na hivyo kwako ww ni jambo la kukufurahisha sana si ndio?
Mliokuja mjini na treni ya TRC huwezi kumjuwa Mangungu.Una mpango wowote wa Kumzalia Murtaza Mangungu? Manake si kwa Sifa hizi unazompa na unaonekana unapenda sana Wanaume wa Mjini.
Kama yeye ni mjanja wa mjini basi apambane na wa mjini wenzake kwenye ubunge. Vinginevyo hana ujanja wowote kama unavyomsifia.Murtaza ni mtoto wa mjini kwelikweli, kwenda kugombea maporini kule ubunge unaokota tu kwa gharama nafuu lakini stahiki za mbunge wa mjini na maporini ziko sawa.
Hadi ngapi mazeeLeo countdown ya3 mazee .
Kwasababu alimleta manzoki kwenye uchaguzi akidai kashamalizana nae mwisho wa siku zilikuwa propaganda yaani kam ni ulaya mangungu angekuwa ndani saa hizi kawahadaa wananchi ule sio uchaguzi wa CCM.Mangungu amechaguliwa na wanachama kwenye mkutano mkuu wa klabu. Unataka ajiuzulu kwa sababu gani? Ungeziorodhesha hizo sababu ili tuzipime na kuona kama zina mashiko, au la.
Kapewa 7Hadi ngazi mazee
Na kura zote mkampa! Na ubwabwa wake nao mkala!! 😁Kwasababu alimleta manzoki kwenye uchaguzi akidai kashamalizana nae mwisho wa siku zilikuwa propaganda yaani kam ni ulaya mangungu angekuwa ndani saa hizi kawahadaa wananchi ule sio uchaguzi wa CCM.
Sifa za Kipumbavu wakati huna lolote Maishani zaidi ya Ujivuni wa Kitoto. Ungekuwa wa Mjini ungekuwa Fukara ulivyo?Mliokuja mjini na treni ya TRC huwezi kumjuwa Mangungu.
Eng Hersi mtoto wa Kariakoo, Murtaza ndio humohumo, sasa nyinyi washambawashamba mtawaambia nini hao watu wawili?
Mnachpaswa ni kumvumilia mwakani ataondoka mwenyewe anakwenda kuchukuwa Ubunge wake alioporwa na Magufuli.
14Hadi ngapi mazee
Soma vyema Uzi wangu nilisema nampa Siku 14 na siyo 7 kama ulivyoandika hapa. Muwe mnatulia mkisoma Mada Ok?Kapewa 7
aiseee hivi Kwanini wewe ni muongo tazama hapa chini 👇Tafadhali aliye Jirani nae amwambie kuwa aachie Ngazi Simba SC kwani GENTAMYCINE huwa Sibahatishi kwa Taarifa.
je wewe Elimu uliyoipata hapa iliyokupa aibu ya mwaka kutoka kwa dr matola utathubutu kurejea kwake? Tazama hapa chini👇Kwa Elimu uliyompa hapa akithubutu kukurejea tena nitaamini kuwa ana Ugonjwa mkubwa sana wa Akili yaani Utaahira.
Hata wewe zile sifa za uongo unazopewa ndiyo zilikufanya ukafunga uzi na kukimbia kwa aibu kubwa bila kurudi tena tazama hapa chini👇Una mpango wowote wa Kumzalia Murtaza Mangungu? Manake si kwa Sifa hizi unazompa na unaonekana unapenda sana Wanaume wa Mjini.
Ulimwambia huyu mhutu wa katoro akajifanya mjuaji kiko wapi?Mliokuja mjini na treni ya TRC huwezi kumjuwa Mangungu.
Eng Hersi mtoto wa Kariakoo, Murtaza ndio humohumo, sasa nyinyi washambawashamba mtawaambia nini hao watu wawili?
Mnachpaswa ni kumvumilia mwakani ataondoka mwenyewe anakwenda kuchukuwa Ubunge wake alioporwa na Magufuli.
Vipi, tukuongezee siku nyingine?Soma vyema Uzi wangu nilisema nampa Siku 14 na siyo 7 kama ulivyoandika hapa. Muwe mnatulia mkisoma Mada Ok?