Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Murtaza ni mtoto wa mjini kwelikweli, kwenda kugombea maporini kule ubunge unaokota tu kwa gharama nafuu lakini stahiki za mbunge wa mjini na maporini ziko sawa.Mbona amekaa kishamba kishamba sana? Na ikawaje akashindwa kuwa Mbunge hapo mjini hadi akaenda kugombea kule maporini? Hiyo inayoonyesha wapo wa mjini zaidi yake.