Murtaza Mangungu: Wanasimba wanatakiwa kujuwa kuwa mpira unaongozwa na sheria

Murtaza Mangungu: Wanasimba wanatakiwa kujuwa kuwa mpira unaongozwa na sheria

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,686
Reaction score
46,842
Kuhusu 25 June, wanasimba wote wanapaswa kujua mpira unaongozwa kwa sheria na kanuni,hivyo sisi kama taasisi ya mpira lazima tuheshimu kanuni na sheria.

Niwatoe wasiwasi mchezo namba 184 klabu yetu itakwenda uwanjani kuzipigania alama tatu ambazo zitatupa ubingwa msimu huu. Wanachama na mashabiki waje uwanjani kuipa sapoti timu yetu.
 
Simba wakishinda hii Match, Mji hautakalika, Young Africans msituangushe
 
Toka haka kazee kachukue uenyekiti, Simba ni kufungwa tu na Yanga.

Katakuwa na vimelea vya Yanga
 
Mlikua mnaitaka sana hii mechi Viongozi wamekaa gemu ichezwe mmeanza kuogopa hoo huyu mzee ni Yanga mara nani alimpeleka kwenye kikao mwenyekiti wenu daah..
 
Back
Top Bottom