Musa Assad aingia mkataba wa ukaguzi na Sweden

Musa Assad aingia mkataba wa ukaguzi na Sweden

Ni mzalendo na mkwli ataifanya kazi yake kwa weledi mkubwa... Japo kuna watu hawajalipenda hili
CAG mstaafu;Musa Asad ameingia mkataba wa miaka mitatu (2019-2022) wa kukagua hesabu zote za fedha za misaada inayotolewa na swedan kwa Tanzania.
....................
Una maoni gani kwa Asad na kwa serikali ya Tanzania?
 
Back
Top Bottom