Musa Assad aingia mkataba wa ukaguzi na Sweden

Musa Assad aingia mkataba wa ukaguzi na Sweden

KwAhyo ukiwa msomi mwerevu hazina ya taifa, serikali chafu ikitaka kukuingia fikra ukikataa katakata ,unakua mdini?.....bongo inashida
No. Huyu anamaanisha ukiwa muislam ndio mdini ila ukiwa mkristo sio mdini. Watu hawa ni watu ambao wanauchukia uislam. Hawataki mtu afuata dini yake ya kiislamu kikamilifu
 
Akiacha Udini atawork hata WB
Muislam ye yote anaetimiza wajibu wake vizuri ktk dini yake huwa anawapa shida sana sijui kwa nini na lazima mtamwona mdini,ila angekuwa muislam mlevi mlevi asieswali kiujumla asie mwogoa Mungu huyo kwenu ndio muislamu safi kabisa,ila ktk Qoran kuna aya inayotutahadharisha ambayo inayosema "kwamba nyinyi hamwezi kuwa radhi na sisi hadi pale tutakopofuata mila zenu".
Kwa hiyo kila muislam anaejitambua huwa anafahamu vizuri hoja yenu ya udini kuliko pengine hata nyinyi wenyewe mnaoisema.
Halafu la kushangaza kwa nini hoja hiyo siku zote iwe dhidi ya waislam? Kwa mitazamo yenu hasi ndio kusema upande wenu hakuna hao watu?
 
CAG mstaafu;Musa Asad ameingia mkataba wa miaka mitatu (2019-2022) wa kukagua hesabu zote za fedha za misaada inayotolewa na swedan kwa Tanzania.
....................
Una maoni gani kwa Asad na kwa serikali ya Tanzania?
Lete source ya habari yako, maana if siku hizi imekuwa haiaminiki
 
Umemjibu vema, maana kuna watu wanaamini Msomi hana dini
Hata hao wanaoamini hivo, nao pia wana dini zao wanazoziabudu maana hamna mwanadamu asiye na dini. Maana dini ni mfumo wa maisha sasa kama mtu akiwa hai anaishi bila shaka kuna mfumo wa maisha ambao anaufuata. Swali linakuja je mfumo huo wa maisha anaoufuata ni sahihi au laah. Hiyo ndo tofauti iliyopo mkuu.
 
Alikuwa anatumika na mabeberu baada ya kufukukuzwa usiegi wao wamempa kazi
 
Utamsikia huyu alie athiriwa na sumu akisema alikuwa anatumiwa na mabeberu kulichafua bunge ndio maana wamemteua, tuna raisi wa ajabu haijawahi kutokea Lisu hajakosea.
 
Sasa hapo unajiona umeandika bonge la point kumbe upupu tu.
Hahaha vichekesho vingine bana

Ina maana wao Sweden hawajiamini mpaka wahitaji mtu wa tatu kukagua mahesabu yao? Au wanafikiri kwa kufanya hivyo ni kumuumiza Magu? Hahaha wajinga kweli
 
Hivi mna uhakika kweli na hili au mna bwabwaja tu
Aliweka kamsikiti kadogo pale kwenye ofisi za CAG.... Msomi kama yeye hakupaswa kuonsha hisia za udini bana...
Ila ni muadilifu...mtu wa kunyoosha
 
CAG mstaafu;Musa Asad ameingia mkataba wa miaka mitatu (2019-2022) wa kukagua hesabu zote za fedha za misaada inayotolewa na swedan kwa Tanzania.
....................
Una maoni gani kwa Asad na kwa serikali ya Tanzania?
kama watamruhusu aingie ofisi zao
 
Hahaha vichekesho vingine bana

Ina maana wao Sweden hawajiamini mpaka wahitaji mtu wa tatu kukagua mahesabu yao? Au wanafikiri kwa kufanya hivyo ni kumuumiza Magu? Hahaha wajinga kweli
Unawapangia kwenye hela zao kama hamtaki kataeni msaada.
 
Nami nilitamani aje kunipigia hesabu kwenye daladala ya shemeji maana kila siku konda ananiletea hela hazieleweki
Mwambie dada yako apunguze kuwa gogo hela za daladala zitakuwa nyingi usihofu. Kama akizidiwa take over majukumu ya dada chumbani shemeji atakupandisha cheo
 
CAG mstaafu;Musa Asad ameingia mkataba wa miaka mitatu (2019-2022) wa kukagua hesabu zote za fedha za misaada inayotolewa na swedan kwa Tanzania.
....................
Una maoni gani kwa Asad na kwa serikali ya Tanzania?
Ngoja awanyooshe vizuri wale wachumia matumbo
 
Hahaha vichekesho vingine bana

Ina maana wao Sweden hawajiamini mpaka wahitaji mtu wa tatu kukagua mahesabu yao? Au wanafikiri kwa kufanya hivyo ni kumuumiza Magu? Hahaha wajinga kweli
Nadhani Anakagua matumizi ya hizo pesa hapa bongo kama zimetumika as expected
 
Back
Top Bottom