The Genius
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 822
- 2,095
CAG mstaafu;Musa Asad ameingia mkataba wa miaka mitatu (2019-2022) wa kukagua hesabu zote za fedha za misaada inayotolewa na swedan kwa Tanzania.
....................
Una maoni gani kwa Asad na kwa serikali ya Tanzania?
Mhuuuu,imekaa vibaya kwaserikali ya Tz,Assad anamke mzuri kwelikweliCAG mstaafu;Musa Asad ameingia mkataba wa miaka mitatu (2019-2022) wa kukagua hesabu zote za fedha za misaada inayotolewa na swedan kwa Tanzania.
....................
Una maoni gani kwa Asad na kwa serikali ya Tanzania?
Tayari amesema kuwa serikali ya magu wamepga 1.5Trillion kimy kimyaHongera kwake
Aitangaze vyema Tanzania
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Assad ni mtu muadilifu ila inamapungufu yake.... Jamaa ni mdini sana...
Assad ni mtu muadilifu ila inamapungufu yake.... Jamaa ni mdini sana...
Yes ameshaitangaza TZ kuwa ina bunge dhaifu mnooo.Hongera kwake
Aitangaze vyema Tanzania