Musa Assad aingia mkataba wa ukaguzi na Sweden

CAG mstaafu;Musa Asad ameingia mkataba wa miaka mitatu (2019-2022) wa kukagua hesabu zote za fedha za misaada inayotolewa na swedan kwa Tanzania.
....................
Una maoni gani kwa Asad na kwa serikali ya Tanzania?
Chanzo cha taarifa tuanze hapo maana tangu aenguliwe keshateuliwa marambili sasa ukweli uko wap
 
Nami nilitamani aje kunipigia hesabu kwenye daladala ya shemeji maana kila siku konda ananiletea hela hazieleweki
 
Sawa afanye tu kazi hakuna anayemkataza...
 
Aliweka kamsikiti kadogo pale kwenye ofisi za CAG.... Msomi kama yeye hakupaswa kuonsha hisia za udini bana...
Ila ni muadilifu...mtu wa kunyoosha
Wewe kweli boya sana unadhani mtu akisoma ndo imani yake inapotea au! Yule ni muislam na anatakiwa kuswali five times a day sasa bila ya kuwa na msikiti karibu ataswali vp.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…