Fisadi ana mbinu nyingi za kufanikisha udhalimu wake ikiwa na pamoja na kuwanunua viongozi wakuu kwa fedha haramu!Ndiyo aliyeleta mswaada wa tozo Bungeni? Utawala (Executive) ndio wakulaumiwa hafu ujue tu Muswaada wowote lazima ujadiliwe na Baraza la mawaziri ambapo Chair ni President unataka kuniambia Zungu kaiweka serikali yote mfukoni?
Correct 100%!Kwa hiyo kwa kifupi kabisa tunaweza kusema huyu ndiyo mentor wa Daktati wetu bingwa wa uchumi!! aka Daktari wa tozo!!
Mmmhhuku yeye akiwa anaendeleza biashara zake haramu za madawa ya kulevya!
Ni upuuzi Musa ni chama Gani?Musa Zungu mbunge wa Ilala ndiye aliyependekeza na kushinikiza kuwepo kwa tozo kwa wananchi fukara wa Tanzania. Bila aibu yo yote alisimama bungeni kutoa hoja ya kuanzisha wizi wa fedha za wananchi huku yeye akiwa anaendeleza biashara zake haramu za madawa ya kulevya!
Mwigulu akiwa amefikia upeo wa kufikiri akapokea hoja hii bila kujali madhara ambayo wananchi wangepata! Tena akijisifu kuwa ni daktari wa uchumi kumbe ni daktari wa utapeli!
Sasa Mwigulu mwenyewe amefuta na kupunguza viwango vya tozo kwa aibu kubwa! Mwigulu hafai kuendelea kuwa katika ofisi ya umma hata bure kwa sababu ni fisadi aliye kubuhu!
Inawezekana kabisa ni raia wa Yemen!Waangalie vizuri uraia wa uyo kiumbe
Kizazi Cha lawama ,hakijui kinataka nini.Musa Zungu mbunge wa Ilala ndiye aliyependekeza na kushinikiza kuwepo kwa tozo kwa wananchi fukara wa Tanzania. Bila aibu yo yote alisimama bungeni kutoa hoja ya kuanzisha wizi wa fedha za wananchi huku yeye akiwa anaendeleza biashara zake haramu za madawa ya kulevya!
Mwigulu akiwa amefikia upeo wa kufikiri akapokea hoja hii bila kujali madhara ambayo wananchi wangepata! Tena akijisifu kuwa ni daktari wa uchumi kumbe ni daktari wa utapeli!
Sasa Mwigulu mwenyewe amefuta na kupunguza viwango vya tozo kwa aibu kubwa! Mwigulu hafai kuendelea kuwa katika ofisi ya umma hata bure kwa sababu ni fisadi aliye kubuhu!
Hivi wewe ni mtu au mtoto wa shetani!Kizazi Cha lawama ,hakijui kinataka nini.
Kianzishwe Tozo ,lawama .
Tozo ifutwe, lawama .
Haya Tozo zimefutwa nakupunguzwa
Unalalamika nini?
Dhungu anasitahili kupongezwa ,angarau alionyesha uwezo wa kufikili tofauti.
Kuna unafuu mkubwa wakua na hizi Tozo zilizopo kisheria na zimekua Fixed kuliko kudanganyana na kubabikiana kesi Kisha kulipishwa pesa zisizo tambulika kisheria , unakumbuka kipindi Cha mazungimzo na Dpp?
Watu wlilipishwa plea Bargain.
Haikua nasheria Wala kanuni ilikua mwendo wakukiri kosa na kulipa.
Mwiguru ahukumiwe kwa woga wake maana akitajiwa kukazia hapo hapo.