Musa Zungu ndiye kirusi cha tozo

Musa Zungu ndiye kirusi cha tozo

Zungu alikuwa na hoja nzuri sana kuhusu Tozo.. Shida imekuja baada ya Tozo kuanza kukusanywa.. Hakuna kinachofanyika pamoja na makusanyo yote.. Miradi ya maendeleo imesimama.. Hakuna Miradi mipya.. Ndio maana wananchi wanalalamika.. Hakuna uwazi katika makusanyo.. Mazingira ya wizi ni makubwa sana katika Tozo.. TOZO NI WIZI..
 
Musa Zungu mbunge wa Ilala ndiye aliyependekeza na kushinikiza kuwepo kwa tozo kwa wananchi fukara wa Tanzania. Bila aibu yo yote alisimama bungeni kutoa hoja ya kuanzisha wizi wa fedha za wananchi huku yeye akiwa anaendeleza biashara zake haramu za madawa ya kulevya!

Mwigulu akiwa amefikia upeo wa kufikiri akapokea hoja hii bila kujali madhara ambayo wananchi wangepata! Tena akijisifu kuwa ni daktari wa uchumi kumbe ni daktari wa utapeli!

Sasa Mwigulu mwenyewe amefuta na kupunguza viwango vya tozo kwa aibu kubwa! Mwigulu hafai kuendelea kuwa katika ofisi ya umma hata bure kwa sababu ni fisadi aliye kubuhu!
Huyu Musa Zungu nae ni changamoto, ndio aliyehusika kufanya soko la Machinga Complex kuwa kama Mabanda ya kufugia Simba!! Upeo upeo MD.......
 
Kwani waliopita waliendesha je nchi serikali bila tozo?Duniani hakuna hiki kituko unachoandika hapa. Haina tofauti na Kodi ya kichwa. Ni upuuzi mkubwa.

Tuwaulize waliomweka Nia yao ilikuwa ni Nini? Kama ni kisimamia mapato na kumshauri Rais bila kubughudhi raia watajua wenyewe.

Kama ni mchango mchangoaji akubali sio anafanya kitu halafu nyinyi mnakata. Huu tunasema ni ushetani kabisa. Ni Kama mtu anatembea barabarani anatokea mtu mbele yake anamzuia.

Naomba unielewe hii too inamsaidia je mgonjwa na mtoto na wazee. Asilimia kubwa haya malipo yanawasaidia.

Najiuliza serikali ilishamnunulia mzee, mtoto au mgojwa chakula? Kuna huduma huyu mtoto anapata shuleni? Kuna huduma mgonwa anapata akiwa hospital au anapojiuguza akiwa mahali popote hapa Tanzania. Kujiandokisha upate huduma zahanati ni pesa.

Tuombe Jamaa ajiuzulu kunusuru maisha ya wengine.
Tofautisha Tozo za miamala ya kidictal na Kodi ya kichwa .
Kodi ya kichwa ililipwa kwa Kila raia me(baada ya kuondoa Ke) mwenye kutimiza miaka 18.
Uwe na pesa usiwe napesa utalipa TU.
Tozo; hakuna anae fuatwa nyumbani kwake kudaiwa .inakatwa kwa wewe mwenye kuhamisha fedha.

Unaona tofauti hapo?
 
Daaa unakichwa kigumu. Kwani hakuna vyanzo vingine vya mapato? Zile pesa za Acacia mlishamaoiza mpaka iamaa wa watu akawa kilema? Endeoeeni kutoza watoto, Yatima walemavu na wazee tozo mtandaoni.
 
Mbishi kama mshipa!

Sasa serikali imeona aibu na kuifuta kinamna wewe mzalendo nenda kwa Zungu mkaomboleze!
 
Ndiyo aliyeleta mswaada wa tozo Bungeni? Utawala (Executive) ndio wakulaumiwa hafu ujue tu Muswaada wowote lazima ujadiliwe na Baraza la mawaziri ambapo Chair ni President unataka kuniambia Zungu kaiweka serikali yote mfukoni?
😀😀😀
 
Ndio muasisi wa wazo hilo, au we hukuwepo nchini nini?
 
Mbishi kama mshipa!

Sasa serikali imeona aibu na kuifuta kinamna wewe mzalendo nenda kwa Zungu mkaomboleze!

Daaa unakichwa kigumu. Kwani hakuna vyanzo vingine vya mapato? Zile pesa za Acacia mlishamaoiza mpaka iamaa wa watu akawa kilema? Endeoeeni kutoza watoto, Yatima walemavu na wazee tozo mtandaoni.
Pendekeza vyanzo vingine.
Mbona Shida imekuja kwenye Tozo TU? Hayo makundi haya tumii Sukari?
Hayafanyi manunuzi na kulipa VAT?
Tozo iboreshwe Haina malimbikizi Wala kushikana mashati.
 
Mbishi kama mshipa!

Sasa serikali imeona aibu na kuifuta kinamna wewe mzalendo nenda kwa Zungu mkaomboleze!
Tozo za miamala ya sim ziko palepale. Kubali kuishi nazo. Za ki bank 🏧 Nazo zinaboreshwa .
Ukiona inakukera safirisha pesa zako kwa mkono na uzihadhi kwenye vibuyu.
 
Kwa hiyo kwa kifupi kabisa tunaweza kusema huyu ndiyo mentor wa Daktati wetu bingwa wa uchumi!! aka Daktari wa tozo!!
Mwigulu avuliwe huo udaktari wa uchumi mara moja apewe udaktari wa tozo ambao kwa jina halisi ni wizi wa pesa za wananchi walizozitolea jasho.

Kwamba mpaka dakika hii huyu kamanda wa wizi bado yuko ofisini ni tusi lisilovumilika kwa wazalendo wote wa taifa letu pendwa, Tanzania.

Kwamba mteuzi wake bado hajamfukuza mpaka leo hii ni uthibitisho kwamba mpango huu wa wizi ulibarikiwa na kusimamiwa na serikali ya CCM.
 
Mwigulu akiwa amefikia upeo wa kufikiri akapokea hoja hii bila kujali madhara ambayo wananchi wangepata! Tena akijisifu kuwa ni daktari wa uchumi kumbe ni daktari wa utapeli!
Alijipambanua kuwa ndiye muasisi
 
Pendekeza vyanzo vingine.
Mbona Shida imekuja kwenye Tozo TU? Hayo makundi haya tumii Sukari?
Hayafanyi manunuzi na kulipa VAT?
Tozo iboreshwe Haina malimbikizi Wala kushikana mashati.
Pendekezo langu mwingulu aachie ngazi apishe wenye vision wapambane. Mimi sifanyikazi za kupiga ramli za mapato ya serikali Kama Zungu.

Tunataka hiki Kiumbe Cha tozo kijiuzulu kipishe wengine wasiosumbua raia. Kwani ni lazima yeye akague mapato ya serikali?
 
Musa Zungu mbunge wa Ilala ndiye aliyependekeza na kushinikiza kuwepo kwa tozo kwa wananchi fukara wa Tanzania. Bila aibu yo yote alisimama bungeni kutoa hoja ya kuanzisha wizi wa fedha za wananchi huku yeye akiwa anaendeleza biashara zake haramu za madawa ya kulevya!

Mwigulu akiwa amefikia upeo wa kufikiri akapokea hoja hii bila kujali madhara ambayo wananchi wangepata! Tena akijisifu kuwa ni daktari wa uchumi kumbe ni daktari wa utapeli!

Sasa Mwigulu mwenyewe amefuta na kupunguza viwango vya tozo kwa aibu kubwa! Mwigulu hafai kuendelea kuwa katika ofisi ya umma hata bure kwa sababu ni fisadi aliye kubuhu!
Mpumbavu km wewe ni bora asingezaliwa, huna cha kusaidia nchi hii. Bora mamako angemlazimisha babako kuvaa condom siku anakula mbususuwake uliosababisha mimba yako. Bure kabisa. Zungu alikuwa anatimiza wajibu wake wa kibunge wa kuishauri serikali namna ya kupata vyanzo vingine vya mapato. Na amefanikiwa kwa kiasi kikubwa bibi zako, wajomba na mashangazi zako wamepelekewa huduma za kisasa ikiwemo barabara, mahospitali, shule n.k Kama unataka kuishi bure hamia porini uishi na nyani wenzako.
 
Mama yako ana karai vinginevyo alipata mimba yako akiwa na siphilis au gonoria ndiyo sababu ukazaliwa taahira! Jamii haina namna ya kukusaidia utabaki hivyo hivyo na mtindio wa akili mpaka ufe!
 
mzee huyu anavyoozeeka na hekima zinapuputika kwa kasi ya kutisha!
Ukimskia anavyoongea mara moja unagundua kuna tatizo!
 
Musa Zungu mbunge wa Ilala ndiye aliyependekeza na kushinikiza kuwepo kwa tozo kwa wananchi fukara wa Tanzania. Bila aibu yo yote alisimama bungeni kutoa hoja ya kuanzisha wizi wa fedha za wananchi huku yeye akiwa anaendeleza biashara zake haramu za madawa ya kulevya!

Mwigulu akiwa amefikia upeo wa kufikiri akapokea hoja hii bila kujali madhara ambayo wananchi wangepata! Tena akijisifu kuwa ni daktari wa uchumi kumbe ni daktari wa utapeli!

Sasa Mwigulu mwenyewe amefuta na kupunguza viwango vya tozo kwa aibu kubwa! Mwigulu hafai kuendelea kuwa katika ofisi ya umma hata bure kwa sababu ni fisadi aliye kubuhu!
Ni Kweli ZUNGU alitoa hoja DHAIFU.

Tatizo ni hao waliyoichukua hoja DHAIFU bila kuchanganya na AKILI zao!!
 
Huyu zungu nasikia kapendekeza tozo nyingine kwenye bando, mwaka huu wa wanyonge huu...
 
Back
Top Bottom