Kabla ya Jambo Hilo kujadiliwa by the so called cabinet mzizi au msingi wa Jambo Hilo ulitolewa bungeni na bwana Zungu akiita ni Kodi ya uzalendo! Bwana Mwigulu akalipeleka wizarani kwake na baadae kwenye cabinet likapata baraka na likawa muswada!
Kama haitoshi huoni ni Zungu huyu huyu amemshauri Nape awasiliane na TCRA ili bundle zipande Bei mpaka GB 1 kwa angalau 5000?
Lakini Ndani yake kutakua na Nia ovu ya kufinya wigo wa mawasiliano na kupashana habari kwani watu sasa wengi tubashana habari kwa njia za kidijitali zinazotegemea Data!
Nia ovu hiyo tunasema ni inderict suppression of freedom of press and information. So tutajua hali halisi ya mambo yanavyoenda nchini kwa njia wanazotaka wao na sio kwa njia ya internet ambapo Data ndio kiwezeshi! Huyu mzee ni janga