Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Na hii ni kwa sababu Mwigulu amefikia upeo wa kufikiri! Hana akili tena! Labda amebaki na akili za kuiba fedha na kugharimia Singida Big Star!Swali:
Km kufuta tozo ni maagizo ya chama na rais, je! kutoza tozo ni maagizo ya nani?
Jawabu: Mzee Zungu
Leo ndio nmepata jawabu
Kwa maana hiyo hatuna serikali tuna kikosi kazi Cha CCM. Jamani amkeni. Hapa ndiyo kipimo Cha watanzania wanapokuwa na hasira. Yaani hata mahakamani watakuja.Swali:
Km kufuta tozo ni maagizo ya chama na rais, je! kutoza tozo ni maagizo ya nani?
Jawabu: Mzee Zungu
Leo ndio nmepata jawabu
Hizi Tozo hazitozwi kwa mashetani , nawatozaji sio mashetani.Hivi wewe ni mtu au mtoto wa shetani!
Basi wewe ni mpumbavu!Hizi Tozo hazitozwi kwa mashetani , nawatozaji sio mashetani.
Karibu tuendelee.
Kutukana hakukusadii.Basi wewe ni mpumbavu!
Pole Mzee! Naomba ulale kwa kuwa hata kudonoa buttons za simu yako shida!Kutukana hakukusiidii.
Ukiulizwa swali lakiufaham hapa, huwezi kuja namajibu zaidi ya kujiumauma.
Tozo za miaka ya simu kwangu na kwa wengine nasema hazina hathari kubwa kwa sababu miaka 20 iliopita nilikua nakipato duni, nagharama za kutuma pesa Dar to Arusha kupitia Scandinavia ilikua 10% , 500,000tsh ililipiwa 50,000tsh. Hiyo pesa hakuna ilipo lipiwa Kodi, Leo hii 500,000 kulipiwa 10,000 mnapiga makelele?
Shida hapa naweza kua na jibizana na mtoto wa 2002.
Pole Mzee! Naomba ulale kwa kuwa hata kudonoa buttons za simu yako shida
Pole ya Nini kijana? Kweli kubonyeza batani za hii Tecno ni Shida lakini ujumbe unafika. Kuhusu Kulala sio mda wake Nina km 160 mbere yangu kabla yakufikia kitanda.
Peleka huo ugoro huko. Sijui umepata ile kitu ya Arusha au vipi. Toeni na ajira ili tozo iweze kwenda sawa.Kutukana hakukusadii.
Ukiulizwa swali lakiufaham hapa, huwezi kuja namajibu zaidi ya kujiumauma.
Tozo za miamala ya simu kwangu na kwa wengine nasema hazina athari kubwa kwa sababu miaka 20 iliopita nilikua nakipato duni, nagharama za kutuma pesa Dar to Arusha kupitia Scandinavia ilikua 10% , 500,000tsh ililipiwa 50,000tsh. Hiyo pesa hakuna ilipo lipiwa Kodi, Leo hii 500,000 kulipiwa 10,000 na Kodi umoumo, mnapiga makelele?
Shida hapa naweza kua na jibizana na mtoto wa 2002.
Kwa hiyo mwanafunzi akiwa boarding hawezi kuomba msaada wa kalamu au daftari zaidi ya mzazi wake. Hata Kama ni mzazi wake.Tatizo mmekua kama mko sayali nyingine. Cha Arusha sijatumia ila kama kinaitajika nitatumia TU. Wigo wa kupanua Kodi unaitajika , dhungu ameonesha mfano nawewe njo.napendekezo lako.
Hayo.unayo yasema ya mgonjwa sijui ya mwanafunzi ni Bei gani unawatumia ? Wewe umekua nawagonjwa wa kudumu?
Je lengo ni kumtoza mgonjwa?
Hizi Tozo zilikua zinaenda kufuta matumizi ya oplations za ovyo zinazo lenga kukusanya pesa kwa kudhulum.
Kwa hiyo kamnunua Samia?maana miswada yote lazima Rais asainiFisadi ana mbinu nyingi za kufanikisha udhalimu wake ikiwa na pamoja na kuwanunua viongozi wakuu kwa fedha haramu!
Kwa hiyo usishangae!
Hakuna Kodi nyepesi kulipika. Umeongea kwa hisia Kari kiasi kidogo unishawishi.K
Kwa hiyo mwanafunzi akiwa boarding hawezi kuomba msaada wa kalamu au daftari zaidi ya mzazi wake. Hata Kama ni mzazi wake.
Mgonjwa nae hawezi kuomba msaada wa kununua dawa.
Wazee wanahitaji msaada wa hela. Na tunasema wazee na wagonjwa wanahitaji fataja. Wengi ukiwaambia waweke hela ya makato anakwambia Hana.
Una shida Ukomba msaada wa sh 10,000 na ukatumiwa sh 10,000 hiyo hiyo utatoa shilling ngapi? Je kama ni hela ya dawa utakuwa umepata au umekosa?
Naomba unielewe hili swala la tozo limegusa maisha ya watu wengi hasa wale ambao hawana kipato kwa taarifa yako.
Na ukiangalia wanaotumia mitandao ya pesa wengi wanamatatizo. Wenye pesa wanaweka mabenki Kama wewe.
Tozo zipo pale pale.Hazijafutwa.Ni kiininmacho
Kwani waliopita waliendesha je nchi au serikali bila tozo?Duniani hakuna hiki kituko unachoandika hapa. Haina tofauti na Kodi ya kichwa. Ni upuuzi m.tupuHakuna Kodi nyepesi kulipika. Umeongea kwa hisia Kari kiasi kidogo unishawishi.
Kuna watu hawatumi ,pesa wao nikupokea TU nao wanalalamikia tozo. Hii sio sawa.
Hata huko Bank 🏧 Nako Tozo ilifika.
Japo ninteja wa bank lakini kipato change ni chakawaida.
Na Bank hakuna njia ya mkato. Huku kwenye mitandao walio wengi walisha buni mbinu ya kukimbia Tozo. Ambapo mbinu hizo zililenga KUSAIDIA hayo makundi unayo taja .
Nikituma kwa mwanafunzi na pewa lipa namba. Nikituma kwa mgonjwa hivyohivyo. Je wewe hii hukuijua?