Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #101
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji30] [emoji30] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Hakuna kitu kama hicho Uganda...Museveni kweli alitaka kufanya hivyo lakini ameminywa na wenye mradi wao...kama sheria hiyo ingekuwepo kusingekuwa na mashoga wanaojitokeza mitaani na kuandamana kudai haki zao.Yaani tungetegemea wakamatwe wakati wanaandamana lakini hilo halitokei.
Watu wengi wanapinga ushoga kwa sababu nyepesi sana zikiwemo zile za kidini/kiimani au hisia tu binafsi zisizo na mashiko...sijamwona mtu aliyetoa sababu za maana ingawa zipo...kwa kifupi wengi humu hawawezi kushinda any serious debate kuhusu kupinga au kuruhusu ushoga nchini kwetu.Bado tunahitaji kujua zaidi ya hivyo tunavyovijua.Wewe jifikirie,kwanini watu wazito wanaoonekana kuwa heshima duniani wanatetea na sio tu kutetea bali wanafadhili kabisa ushoga?Kuna nini kwenye ushoga?Wanafaidika nini?
Majibu ya maswali hayo ndio point zilizotakiwa kutumika kupinga ushoga,lakini sio sababu nyepesi nyepesi zilizotawaliwa na imani au hisia binafsi.