Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
Kwa tafsili yako neno rijali unajua nini?
Ukiona mtu anatatizika na ushoga, sana sana mwanamme ujue "he is insecure".
Yaani hajiamini/haamini uanaume wake
Mwanamme kamili hatishwi na anayeliwa/shoga, kwa sababu ni kama amepunguziwa kugombania wanawake/ competition kiaina.
Lakini pia una ka ukweli mahali, kwa sababu ikitokea ni mla/basha/mlawiti.....japokuwa sioni wasiwas wowote ikiwa ni rijali basi ana ubavu na nguvu ya kujitetea kimwili,kimawazo na kihisia.(physically or even mentally or emotionally)
Sijui ni kwa nini mnatatizika na jambo dogo hivi ilhali mna matatizo chungu nzima ya kutatua.