Museveni ameweza kilichowashinda marais wengi wa kiafrika. Atunga sheria rasmi ya ushoga

Museveni ameweza kilichowashinda marais wengi wa kiafrika. Atunga sheria rasmi ya ushoga

View attachment 384070

Pamoja na mambo yake mabaya mengi tu hasa ya kubinya demokrasia, Museveni ameweza kufanya kilichowashinda marais wengi wa kiafrika, ametunga sheria rasmi ya mambo yote yanayohusiasa na ushoga
Vita ilikuwa kali, vitisho vilikuwa vingi lakini alishikilia msimamo wake.

Wengi wa viongozi wetu hawako tayari kuona ushoga unashaniri kwenye nchi zao, hawapendi kabisa lakini misaada inawaponza, wakitishwa kidogo tu wanakaa kimya huku wakikwepa kabisa kulizungumzia hilo jambo
misaada! misaada! misaada! Ndio pingu na gereza la kuifunga Afrika mpaka inashindwa kujiamulia mambo yake mengi kwa uhuru na uwazi.

Pongezi kwako Kaguta Yoweri Museveni. Tunasubiri kuona wengine wanafuata nyayo zako.
Kaka unazungumzia Uganda ipi?kama unazungumzia Uganda ya Afrika Mashariki amabayo raisi wake ni Bwana YK Museveni hakuna hiyo sheria, kwani pamoja na Museveni kusaini huo muswada lakini miezi kama sita baadae Mahakama kuu nchi Uganda iliiharamisha hiyo sheria kwa kutamka kuwa ni null and void, so waganda waendelee tu na mambo yao yalee ya kwa Bwana D Cameron.
 
Ushoga ni ulemavu kama ulemavu mwingine, usishangilie mtu anayewabana walemavu.
Mmh haya je kuna tiba yoyote kwenye hili? Kuna wale ambao ni inborn, hata kwa kuwaona tu unajua..! Lakini vp wale ambao ni kutokana na mazingira ama kuiga?
 
Duu kwahiyo naye
Kaka unazungumzia Uganda ipi?kama unazungumzia Uganda ya Afrika Mashariki amabayo raisi wake ni Bwana YK Museveni hakuna hiyo sheria, kwani pamoja na Museveni kusaini huo muswada lakini miezi kama sita baadae Mahakama kuu nchi Uganda iliiharamisha hiyo sheria kwa kutamka kuwa ni null and void, so waganda waendelee tu na mambo yao yalee ya kwa Bwana D Cameron.
Duu kwahiyo kumbe hiyo sheria ilikuja kuharamishwa?
 
Duu kwahiyo naye

Duu kwahiyo kumbe hiyo sheria ilikuja kuharamishwa?
Mbona long time kitambo,baada ya lile gazeti la udaku la Uganda Red pepper kuanza kutoa picha na majina ya watu wanaosadikiwa kuwa ni mashoga na hao watu kuanza kuharasiwa na baadhi yao kupigwa mitaani halafu wenye ajenda yao kuanza kukata misaada kwa Uganda ikabidi Museveni anyanyue mikono tu akubali yaishe.
 
Kweli hii dhambi ina nguvu kubwa na kumbe Africa hatuna mwenye msimamo hata mmoja...tukitikiswa kidogo tu kwa gia ya kunyimwa misaada tunalainika kama uji wa mlenda
 
Ushoga na usagaji ni mambo madogo sana katika jamii yetu kwanini yatuhangaishe kiasi hiki?
Kijijini kwetu vijana wanateketea kwa unywaji wa pombe, baada ya serikali ya awamu ya tano kuzuia uuzwaji na unywaji wa pombe saa za kazi sasa hivi hapa kijijini vilabu vya pombe vinafunguliwa saa kumi alfajiri na saa moja asubuhi wanafunga. Usishangae kukutana na idadi kubwa ya walevi asubuhi sana maana huku pombe ndio chai.
Ushoga sio tatizo, tuna matatizo makubwa kama hilo la ulevi, uvivu, rushwa, nk
poor thinker kweli wewe. au nawe wana kufollow nini?
 
Kweli hii dhambi ina nguvu kubwa na kumbe Africa hatuna mwenye msimamo hata mmoja...tukitikiswa kidogo tu kwa gia ya kunyimwa misaada tunalainika kama uji wa mlenda
Tehetehetehetehe......pole kaka naona umechoka kabisa kusikia hivyo jinsi waafrika tusivyokua na maamuzi yetu wenyewe.
 
Mmh haya je kuna tiba yoyote kwenye hili? Kuna wale ambao ni inborn, hata kwa kuwaona tu unajua..! Lakini vp wale ambao ni kutokana na mazingira ama kuiga?
Sasa hao ndo ilitakiwa iwekwe mechanism ya kupambana na hii tabia
 
Safi sana.Mapenzi ya jinsia moja hayakubaliki.
[emoji122] [emoji122] Museven
 
Ushoga ni tatizo lakini kifungo cha maisha? ni upuuzi, hizi dini ukizikomalia sana zina madhara makubwa kuliko faida.
Unamuweka mtu jela na walipa kodi wanamlisha maisha yote kwa sababu ipi hasa? kifungo kifupi kinatosha kabisa kumrudisha akili ikae sawa hata mwaka moja tu mtu hawezi rudia. Maisha jela watabadilisha jela kua sehemu ya kufanyia ushoga.
 
Anamaanisha ushoga ni kuchagua na wanaouchagua ni wachache sana na haiwazuii kufanya shughuli zao. Ulevi umekithiri mijini na vijijini kiasi kwamba hata watu wakusaidia kujenga nyumba wamekuwa kama lulu, vibarua wa kulima hawapo, hata wazazi wa kulea watoto wameangamia kwenye ulevi ambao umezaa uvivu.
Hiv we vp hatukuelewi!! Utajiskiaje mtoto wako wa kiume jamaa lamuoa utapokea mahari?
 
Yaani hiyo misaada mimi ndiyo siielewi kabisaa. Eti mtu ukubali kufilwa kwa kulazimishwa ndipo upewe ugali la sivyo ulale na njaa. Hivi Mungu aliangamiza Sodoma na Gomora kwa sababu gani?
 
Anamaanisha ushoga ni kuchagua na wanaouchagua ni wachache sana na haiwazuii kufanya shughuli zao. Ulevi umekithiri mijini na vijijini kiasi kwamba hata watu wakusaidia kujenga nyumba wamekuwa kama lulu, vibarua wa kulima hawapo, hata wazazi wa kulea watoto wameangamia kwenye ulevi ambao umezaa uvivu.

niah;
Kweli ushoga ni kuchagua wala hulazimishwi, Je ulevi unalazimishwa?? Kumbe unajua sasa kuwa hata wazazi wa kuwalea haowatoto hakuna hivyo hao hao watoto wanajifariji kwa kukulana wenyewe kwa wenyewe?? Ushoga nadhani ndo tatizo zaidi kuliko ulevi.
Nadhani hiyo sheria ya Museven wala haiwaumizi hao mashoga kwani mda si mrefu watatoka humo jela ambako nadhani ni kama wamepelekwa chuo kikuu kuifanya kazi yao kwa utaalam zaidi. Angewatia risasi au kuwamwaga kule mtoni ka Iddi alivyowafanya ombaomba siku zile. Kampala na Entebe ikawa swafi bila ombaomba.
 
Yaani hiyo misaada mimi ndiyo siielewi kabisaa. Eti mtu ukubali kufilwa kwa kulazimishwa ndipo upewe ugali la sivyo ulale na njaa. Hivi Mungu aliangamiza Sodoma na Gomora kwa sababu gani?
Hahhahahaaaa uuuuuwiiiii
 
huu ujinga wa ku deal na ushoga as if it is a hurricane or some kind of goddamn disaster, should now get the heck to an end.

ushoga ushoga ushoga ushoga khaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!

na hapo museveni ana ambitions zake nyuma ya pazia ya kuwapumbaza waganda ili waendelee kumkubali na hata kumpa opporrunity ya kugombea tena

maana mtu mweusi yuko tayari kula mavi ili kusudi ushoga usiwepo

jaman, vita ya ushoga na uasherati anayeiweza ni mungu tu, maana hata huko jela wataenda kufumuana marinda mpaka bas,

dear people, nadhani ushoga haupaswi hata kuzungumzwa.
 
Yaani hiyo misaada mimi ndiyo siielewi kabisaa. Eti mtu ukubali kufilwa kwa kulazimishwa ndipo upewe ugali la sivyo ulale na njaa. Hivi Mungu aliangamiza Sodoma na Gomora kwa sababu gani?
wewe ona aibu kuwa mjinga, na nimeona huyo mwenzako kaichekelea kweli comment yako kama vile kuna chochote unacho make sense kumbe hakuna kitu!

ni wapi wapi au lini watu "wamelazimishwa" kuf**w*?

i can now see madness in you, kumbe ndio maana mnashindwa kuumaliza ushoga, kwasababu reasoning zenu zimejengwa juu ya emotions na mihemko.

aisee... huruma sana
 
Back
Top Bottom