Museveni ameweza kilichowashinda marais wengi wa kiafrika. Atunga sheria rasmi ya ushoga

Museveni ameweza kilichowashinda marais wengi wa kiafrika. Atunga sheria rasmi ya ushoga

Na 58% zilizobakia ni za wapi?.....halafu tuwekee na data source mkuu siyo kutupa figures zisizo na guu.
usipende pia kutafutiwa sana mkuu wakati mwingine tafuta source za maswala ya HIV ni nyingi mno hapa bongo,ilajua hiyo idadi ilio bakia ndio vijana wanye umri kati ya miaka 15-19,watumiaji wa dawa za kulevya nk
 
johnson meki ni makosa makubwa kuacha kuzungumzia kitu ambacho ni very live na kina trend kwenye maisha yetu ya kila siku
Tunapozungumzia kupashana habari Hatupaswi kubagua kuwa hiki kijadiliwe na kile kisijadiliwe kwakuwa kitu hakipendwi ama kinapendwa na jamii
Kupitia post nyingi za ushoga at least jamii imeweza kuamka na kujua ukubwa wa tatizo na kuna waathirika wengi wamesaidika na hizi mada zetu haliwengine nimekutana nao personally na wanajitahidi kuachana na hii

Hahahahahaah!.....hivi kwa umri huo wote huoni hata soni kudanganya kweupe?
 
Vitu vingine wala havihitaji kupewa attention kuubwa kwasababu havina umuhimu sana...

Hivi matatizo yoote haya Afrika bado kunawatu wanalipwa hela kutunga sheria eti watu watombanaje?!....serious!
 
Kuna siku sitaisahau nikiwa katika shughuli zangu za kiofisi alitokea jamaa mmoja mtu mzima kiasi hivi alikuja na carina TI akaniita huku akishuka katika gari nikamsogelea kimya kumsubiri aseme shida yake!cha ajabu akaniomba nimsaidie kufunga mlango wa gari yake!nikajiuliza bila majibu hata kama hujui kuendesha gari mlango utajua kuufunga!anyway nikamsaidia kufunga kisha nikampatia funguo huku nikimshangaa!akawa na maswali ya ajabu ajabu ila kiungwana nikamjibu yote.akaniomba namba kisha akapanda gari akaondoka.usiku akanipigia simu kwamba anaomba kampani twende klabu yeye ni mgeni nikamtosa!
Kesho yake akaniita sehemu alipofikia hotel tu ya nzuri kufika pale JD za kutosha mezani hapo machale yakaanza nicheza hapa huyu jamaa usikute anataka nitinge anile mgongo nikaagiza club soda akanishawishi sana kwmba tunywe wote niwe tu na amani yeye mtu poa asee sijaona mtu anajua kushawishi kama huyu nikalainika nikagonga vyombo!jamaa c aanze kunishika dushe huku anasifia kwamba imenona!nilipopata chansi ya kwenda toilet nikatambaa na tumbo kama mjeshi nilipokaribia geti nilifunguka kama USAIN BOLT!
😀😀😀😀😀😡😱😱😱
 
usipende pia kutafutiwa sana mkuu wakati mwingine tafuta source za maswala ya HIV ni nyingi mno hapa bongo,ilajua hiyo idadi ilio bakia ndio vijana wanye umri kati ya miaka 15-19,watumiaji wa dawa za kulevya nk

Sasa kwa nini wachanganya vitu viwili tofauti, ungeleta data ya mashoga wasio tumia madawa , ili tuelewe ukweli kama ni tendo hili kweli huchangia asilimia hiyo ama ni mengine kama madawa ya kulevya.
Halafu mi ni mtafutaji wa balaa.
 
Pamoja na mambo yake mabaya mengi tu hasa ya kubinya demokrasia, Museveni ameweza kufanya kilichowashinda marais wengi wa kiafrika, ametunga sheria rasmi ya mambo yote yanayohusiasa na ushoga.
Vita ilikuwa kali, vitisho vilikuwa vingi lakini alishikilia msimamo wake.

Wengi wa viongozi wetu hawako tayari kuona ushoga unashaniri kwenye nchi zao, hawapendi kabisa lakini misaada inawaponza, wakitishwa kidogo tu wanakaa kimya huku wakikwepa kabisa kulizungumzia hilo jambo.

Misaada! misaada! misaada! Ndio pingu na gereza la kuifunga Afrika mpaka inashindwa kujiamulia mambo yake mengi kwa uhuru na uwazi.

Pongezi kwako Kaguta Yoweri Museveni. Tunasubiri kuona wengine wanafuata nyayo zako.
A TOTALLY AMEN TO THAT ONE!
 
Sasa kwa nini wachanganya vitu viwili tofauti, ungeleta data ya mashoga wasio tumia madawa , ili tuelewe ukweli kama ni tendo hili kweli huchangia asilimia hiyo ama ni mengine kama madawa ya kulevya.
Halafu mi ni mtafutaji wa balaa.
tafuta basi mbona hakuna mahala nilipo changanya,mimi nilitoa data zilizo kuwa zinahusiana na mada husika,hili swala lakuanza kunilazimisha nikupe taarifa zilizo baki ni uamuzi wangu!!kama mimi nilivyo amua kutafuta athari za ushoga na maambukizi ya ukimwi hapa nchini basi na wewe tafuta hiyo namba iliobaki ukamilishe jitihada zako
 
Ni bora ungelitumia tu lugha uielewayo?.......dhihirisho tosha tu ni lazima ukarejee darasani.

kelb wahed!
That is your opinion my friend. .and truly i don't care mradi message delivered. ...nikiandika kichaga. .kisukumu. ..kifaransa. ..kijerumani...kichina it is for my SOUL, it's my life. ..wewe kazana kubishana na kila kitu ulimwenguni maana huna harmony in your little programmed and controlled life. ...have a nice day my friend
 
tafuta basi mbona hakuna mahala nilipo changanya,mimi nilitoa data zilizo kuwa zinahusiana na mada husika,hili swala lakuanza kunilazimisha nikupe taarifa zilizo baki ni uamuzi wangu!!kama mimi nilivyo amua kutafuta athari za ushoga na maambukizi ya ukimwi hapa nchini basi na wewe tafuta hiyo namba iliobaki ukamilishe jitihada zako

Bla!..bla!..bla!....rule of thumbs is you provide the link/source as you avail your data.
Bure itakua ni kama cheti kisichokuwa na sahihi!

Mara nyingine ukiweka research data ,weka pia na link/source. Hakuna atakayeichukulia maandishi yasiyo na uthibitisho kwa uzito hata yakiwa ya kweli.........kwa kifupi ni mawaidha tu, yazingatie ama yapuuze.
Ahsante!
 
That is your opinion my friend. .and truly i don't care mradi message delivered. ...nikiandika kichaga. .kisukumu. ..kifaransa. ..kijerumani...kichina it is for my SOUL, it's my life. ..wewe kazana kubishana na kila kitu ulimwenguni maana huna harmony in your little programmed and controlled life. ...have a nice day my friend

😛😛...have a nice life!...byeee!..😀
 
Wala usiangaike nae wala kuumiza kichwa, majibu unayo ; mwanaume rijali hawezi sema ushoga so tatizo.
 
Wala usiangaike nae wala kuumiza kichwa, majibu unayo ; mwanaume rijali hawezi sema ushoga so tatizo.

Kwa taarifa yako, ni kinyume...mwanume rijali hajui ushoga ni nini,wala hata hayamhusu!....umechemka.
Tuseme hayo ni maoni yako binafsi, kila mtu na yake!
 
Back
Top Bottom