Mrs Janet Museveni ni mbunge wa jimbo la Ruhaama tena kwa kugombea (alipata ushindi wa kishindo)na si kuteuliwa.Anazo sifa stahiki kupata huo uwaziri.
Inataka moyo hata hivyo kwa Rais kufumba macho na kumpa nafasi mkewe maana kibinadamu watu lazima wataweka maswali na manung'uniko.
Tumpe hongera zake tu.
Kikwete uko wapi wenzako wakifnya mambo? nawe Mpe mama salma wizara isiyokuwa na kazi maalum...nadhani wizara hizi zilikuwepo enzi za mwalimu.
Africa tuna vituko vingi hasa kwenye siasa zetu ambazo si hasa. M7 kila siku anaunda wizara mpya kuridhisha watu wake. Nadhani ni kati ya serikali zenye mawaziri wengi zaidi africa kama sio duniani. Wananchi wa Uganda wanapata shida sana. hali ya maisha ni ngumu na mishahara ni midogo sana. nashangaa baadhi yetu twashabikia kumpa mke wizara bila kuangalia kuwa licha na kitu hicho kuleta maswali lakini ni gharama kubwa kwa wanchi. Labda walikua na bifu home au alipewa penzi la kutisha akaamua kuropoka kuunda wizara.
hayeni
Kithuku,
Kuna tofauti kubwa kati ya Madiba kumteua Winnie kuwa waziri wa Maendeleo ya jamii. Kama mwanaharakati Winnie alisha "earn" that recognition in her own right. There is no comparison whatsoeverwith what Museveni has done.
Lakini Jasusi huoni kwamba ile hali ya kuwa Janet alishagombea hata ubunge na kuchaguliwa ni recognition katika jamii yake pia?
Huyu Janet Museveni is a power in herself bila ya kuntegemea Yoweri!! Nadhani if anything huyu mama ni stabilizing force sana kwa Yoweri otherwise Museveni angeweza kufanya mambo ya ajabu kuliko Mugabe. Si mnamkumbuka yule mam mke wa Mugabe aliyefariki; kabla ya kifo chake tabia ya Mugabe ilikuwa tofauti sana na sasa!! Janet Museveni ana sifa zote za kuwa waziri na kuwa mke wa Yoweri sidhani kilikuwa kigezo cha kumteua na hata waganda wenzie sidhani kuwa wanawezakulalamika!!
M7 Waziri wa Maisha
Mkewe: Janet Kaguta M7 : Waziri wa Nchi, Karamojong Land
Kaka yake M7: Genral Saleh .....Senior Security Adisor to President m7
M7's Son: Lt. Col. Muhoozi Keinerugaba...... Senior Army Officer
Siyo mbaya sana, ili mradi katiba ya nchi inaruhusu na iwapo sifa za wana familia hao zinaruhusu pia........Good Governance......hahahahahahahahahaha?????????
M7 Waziri wa Maisha
Mkewe: Janet Kaguta M7 : Waziri wa Nchi, Karamojong Land
Kaka yake M7: Genral Saleh .....Senior Security Adisor to President m7
M7's Son: Lt. Col. Muhoozi Keinerugaba...... Senior Army Officer
Siyo mbaya sana, ili mradi katiba ya nchi inaruhusu na iwapo sifa za wana familia hao zinaruhusu pia........Good Governance......hahahahahahahahahaha?????????
Edwin Karugire(mume wa Natasha Museveni) ana cheo gani Uganda?
Inasemekana Janet Museveni anataka kugombea urais siku zijazo.