Museveni amteua Mke wake kuwa Waziri!

Museveni amteua Mke wake kuwa Waziri!

Mrs Janet Museveni ni mbunge wa jimbo la Ruhaama tena kwa kugombea (alipata ushindi wa kishindo)na si kuteuliwa.Anazo sifa stahiki kupata huo uwaziri.

Inataka moyo hata hivyo kwa Rais kufumba macho na kumpa nafasi mkewe maana kibinadamu watu lazima wataweka maswali na manung'uniko.

Tumpe hongera zake tu.

conflict of interest...power corrupts and absolute power corrupt absolutely!!!
 
Kikwete uko wapi wenzako wakifnya mambo? nawe Mpe mama salma wizara isiyokuwa na kazi maalum...nadhani wizara hizi zilikuwepo enzi za mwalimu.

Africa tuna vituko vingi hasa kwenye siasa zetu ambazo si hasa. M7 kila siku anaunda wizara mpya kuridhisha watu wake. Nadhani ni kati ya serikali zenye mawaziri wengi zaidi africa kama sio duniani. Wananchi wa Uganda wanapata shida sana. hali ya maisha ni ngumu na mishahara ni midogo sana. nashangaa baadhi yetu twashabikia kumpa mke wizara bila kuangalia kuwa licha na kitu hicho kuleta maswali lakini ni gharama kubwa kwa wanchi. Labda walikua na bifu home au alipewa penzi la kutisha akaamua kuropoka kuunda wizara.

hayeni

Kama huo ndo mwendo siku nyingine atamkabidhi nchi kabisa na siyo wizara. Na ikitokea kwa nyumba ndogo basi atumuuzia nchi na siyo kumpa aongeze wizara tu. Kwa sababu jamaa atakuwa ni kichaa wa ngono. Itabidi hata wale dada pale Ohio na maeneo mengine wachngamkie tenda. Atakeyeibuka na bingo anaweza kupewa Wizara ya Fedha!🙄
 
Huyu si first lady wa kwanza kuwa waziri katika Afrika. Katika serikali ya kwanza ya Afrika kusini isiyo ya kibaguzi, Mzee Madiba alimteua mkewe kipenzi (enzi hizo) Winnie Madikizela-Mandela kuwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii na Masuala ya Wanawake. Mama huyo aliendelea na wadhifa huo hadi walipokosana na mumewe, ambaye hakusita kumtimua kazi mara moja kwa kutumia kisingizio kuwa mheshimiwa waziri alisafiri nje ya nchi bila ruhusa ya Rais. Mkanganyiko hapo ukawa je hiyo ruhusa alikataliwa tu kwa kuwa rais alikuwa mumewe waliyekosana (yaani mume anamkatalia mkewe asisafiri) ama ni kweli safari hiyo haikuwa na maslahi kwa nchi? Kwa kuwa watu wengi walimpa Mzee Mandela heshima isiyohojiwa, moja kwa moja Winnie alionekana mkosaji na kwamba alistahili kufukuzwa kazi!

Mfano huo wa Nelson na Winnie Mandela unaonesha usumbufu na mkanganyiko unaoweza kutokea kwenye dhana nzima ya utawala bora pale mtu anapoingiza familia yake kwenye uongozi wa umma.
 
Kithuku,
Kuna tofauti kubwa kati ya Madiba kumteua Winnie kuwa waziri wa Maendeleo ya jamii. Kama mwanaharakati Winnie alisha "earn" that recognition in her own right. There is no comparison whatsoeverwith what Museveni has done.
 
Lakini Jasusi huoni kwamba ile hali ya kuwa Janet alishagombea hata ubunge na kuchaguliwa ni recognition katika jamii yake pia? Nadhani hata kama huyo mama ana sifa nzuri vipi, ile hali ya uhusiano wake wa kinyumba na rais inaweza kuvuruga utendaji wa serikali au kuleta mkanganyiko wa utawala kama ilivyotokea kwa Winnie na Madiba
 
Lakini Jasusi huoni kwamba ile hali ya kuwa Janet alishagombea hata ubunge na kuchaguliwa ni recognition katika jamii yake pia?

Kithuku,

1st lady akigombea popote Afrika atashinda tu!!!

Hata Salma akigombea Temeke tena atapata 90%

Je raisi akigombea Ubunge anaweza kushindwa?
 
kwa wafuatiliaji wa mambo wanajua wazi kuwa ubunge wa Janeth ni influence ya mume wake na wananchi walilalamika sana alipotangaza anagombea ubunge by then....inakuwaje hawa wake za marais wanapata upako wa siasa apale tu waume zao wanapokua maraisi?

Sote twakumbuka kua mama Salma naye aliipata moyo na nguvu ya siasa memewe alipoongia ikilu.. who knows? labda 2010 atagombea ubunge kule lindi ili awe waziri wa wanawake na watoto!!

By the way...siku hizi hasikiki tena kwenye media as she was doing beofre....ilikua haipiti siku ila kumwona kwenye luninga .... au kapelekwa shule?
 
Huyu Janet Museveni is a power in herself bila ya kuntegemea Yoweri!! Nadhani if anything huyu mama ni stabilizing force sana kwa Yoweri otherwise Museveni angeweza kufanya mambo ya ajabu kuliko Mugabe. Si mnamkumbuka yule mam mke wa Mugabe aliyefariki; kabla ya kifo chake tabia ya Mugabe ilikuwa tofauti sana na sasa!! Janet Museveni ana sifa zote za kuwa waziri na kuwa mke wa Yoweri sidhani kilikuwa kigezo cha kumteua na hata waganda wenzie sidhani kuwa wanawezakulalamika!!
 
Majukumu ya 1st Lady atatekeza lini?

Kama Ug kungekuwa na domokrasia ya kweli yote yasingejitokeza.

Je 1st mshahara na marupurupu ya 1st Lady hayamtoshi Janet?

Power corrupts!
 
M7 Waziri wa Maisha
Mkewe: Janet Kaguta M7 : Waziri wa Nchi, Karamojong Land
Kaka yake M7: Genral Saleh .....Senior Security Adisor to President m7
M7's Son: Lt. Col. Muhoozi Keinerugaba...... Senior Army Officer

Siyo mbaya sana, ili mradi katiba ya nchi inaruhusu na iwapo sifa za wana familia hao zinaruhusu pia........Good Governance......hahahahahahahahahaha?????????
 
Ha ha ha! Then unapata Mfalme Yoweri Museveni The 1st of the Bahima Kigdom.
 
Fiefdom,

Hapa kuna suala la "conflict of interest". Mama Museveni akikosea je rais anaweza kumdhibiti ipaswavyo? Je rais hakuwa na watu wengine wa kuwapa hii kazi? Je arais ametumia uwezo wake visivyo kwa kutoa upendeleo kwa familia yake?

Kuna mambo mengine hata kama unafanya kwa nia nzuri, ule muonekano wake tu unakuwa haujakaa vizuri na unaleta zogo kubwa.
 
M7 Waziri wa Maisha
Mkewe: Janet Kaguta M7 : Waziri wa Nchi, Karamojong Land
Kaka yake M7: Genral Saleh .....Senior Security Adisor to President m7
M7's Son: Lt. Col. Muhoozi Keinerugaba...... Senior Army Officer

Siyo mbaya sana, ili mradi katiba ya nchi inaruhusu na iwapo sifa za wana familia hao zinaruhusu pia........Good Governance......hahahahahahahahahaha?????????

Edwin Karugire(mume wa Natasha Museveni) ana cheo gani Uganda?
Inasemekana Janet Museveni anataka kugombea urais siku zijazo.
 
Edwin Karugire(mume wa Natasha Museveni) ana cheo gani Uganda?
Inasemekana Janet Museveni anataka kugombea urais siku zijazo.

Wanafuata nyayo za Hillary siyo?

Kwanza Senator, halafu Secretary, then who knows what's next?
 
Wakuu, huwezi kusoma ramani ukiwa umeikalia, no?
 
M7 Kingom!!!

Ni Africa tu this is possible...hivi hakuna checks ktk Bunge????

Tz tuna matatizo ila Ug kuna shida kubwa zaidi!

EA Fed.. we need kwenda taratibu!

EA tunakosa fairness ktk leadership...hili ndo tatizo kubwa sana!
 
WANAOJUA history,has uganda ever had any decent president since independence? tunaomjua museveni,he makes idi amin look like a choir boy
 
M7 ana roho mbaya sijapata kuona.........kutana na waganda leo wanakuambia heri ya Iddi Amin.......
 
.....ha ha ha hii imenifurahisha mi nilifikiri my wife wa president cheo chake huwa ni 1st lady tu. lakini kama alishakuwa mbunge na m7 kamuona atamsaidia maeneo fulani hiyo swari tu.
 
Back
Top Bottom