Museveni ana hali ngumu. Tumsadieni jamani

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
55,997
Reaction score
88,219
Maandamano haramu yameshaanza katika viunga mbalimbali vya mji wa Kampala huku Askari wa kutuliza ghasia wakiwa watazamaji tu.

Naiomba serikali yangu ifanye kila liwezekanalo ili kuisaidia Serikali ya Museveni.
Hali hii ikiachwa Uganda itaingia kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe.

ya Mugabe yanamnyemelea
 
Museveni ameyataka mwenyewe. Narudia amelikoroga mwenyewe. Na apambane na haki yake.
Apambane na wananchi wake.., masuala ya kwenda kumsaidia hayatuhusu.
 
Maandamano haramu yameshaanza katika viunga mbalimbali vya mji wa Kampala huku Askari wa kutuliza ghasia wakiwa watazamaji tu.

Naiomba serikali yangu ifanye kila liwezekanalo ili kuisaidia Serikali ya Museveni.
Hali hii ikiachwa Uganda itaingia kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe.

Utamsaidiaje mzee mjinga anayeua si watu wake tu bali hata askari wanaojitambua?
 
Mseveni ameongea na Raisi Kagame kwa simu asubuhi ya leo,nadhani haijafahamika wameongea nini,ila kwa mtizamo wangu atakuwa anaomba msaada wa ulinzi zaidi.
 
Nani awasaidie!!
Kila mtu abebe furushi lake hadi afike nalo pale Goligotha kama sio Calvary
 
Mods mnamwacha huyu mpumbavu analeta Uzi wa kijinga hapa?kwa hiyo unataka Tanzania ipeleke jeshi kuua raia wanaodai haki zao? jinga kweli wewe boya,nguvu ya umma inazidi jeshi la nyuklia,museveni ataondoka kisha atafuatia Dikteta Magufuli.
Your wise
 
Back
Top Bottom