Tulipokua msituni, tulisema tunapambana kwenda kulinda kila kitu cha nchi yetu,
Maneno ya Rais museven akiongea na vijana wa NRM, katika karamu ya jioni iliyoandaliwa ikulu,
Utajiri wa waganda ni rasilimali na ndio maana nimeweka sheria kali kwenye copper, dhahabu hakuna kuja kujichotea na kutokomea lazima iwe win win business ili kizazi cha kesho kipate mali ya kurithi kuliko kugawia mali ya wajukuu wangu Kwa watu baki,
Viongozi wengi waliacha vita katika nchi zao, Kwa kuchezea maliasili bila kutumia akili,
Kuna nchi wao huita wakoloni eti wawekezaji na wanagawa kila kitu chao ambacho ni maliasili yao Kwa mikataba mibovu kwelikweli hadi inauma,
Vijana wakacheka, akawaeleza msicheke unajua hawa wezi wa mali zetu, walipotoka kule kugawiwa mali, walinifuata na mimi wakasema mbona wenzako wamekubali Kwa mikataba ya aina hii, kwanza niliumia sana hao wenzangu kukubali mambo ya kijinga vile ambayo hata kichaa hawezi kukubali.
Sasa unawaza hawa wanagawaje hovyo maliasili zao burebure hivi wakati wao wapo duniani, ? Ina maana haikuwepo sababu ya wao kua hai Wala kuishi,
Sio muda mrefu tutakwenda kua na bajeti kushinda nchi zote ukanda huu, na bajeti yetu inafanya vizuri maana pesa inakwenda ilipopangiwa ndio maana maendeleo hapa Uganda yanakimbia sana kuliko kawaida,
Kwenye mafuta, vijana msihofu maana walileta ujanja, nikasitisha kwanza na kuoeleka watu shuleni nje huko walipomaliza kupata utaalamu duniani kote wa mafuta ndio wakaja tukaweka mikataba na mambo yako vizuri.
Vijana wa NRM ninyi ni taifa la leo na kesho sisi ni taifa la jana, hivo mkae mkijua mna jukumu la kuilinda amani ya nchi na kulinda rasilimali za nchi kama desturi ya chama chetu.
Maneno hayo ya General Museven akiongea na vijana wa chama chake cha NRM