Museveni: Kuna nchi wanaita watu wawekeze na wakodi hadi maliasili zao

Dongo la mama Hili Lucas Mwashambwa
 
Ujumbe umefika, pia Museveni ni moja kati ya viongozi adhimu waliobaki Afrika, wengine tayari ni vibaraka wa magharibi.
 
Huna kavideo mkuu tumsikie?.
 
Huyu anaisema Tanzania kimipasho
 
Ungeweka clip ingekuwa vizuri sana. Kama ni kweli basi dongo kwa Samia hili.
 
Mbona kama anatusema?
 
Aache u**nge
 
Safi sana mseveni Kwa hotuba nzuri kabisa ya kutusemea watanzania.maana mama wa mafisadi Kila kitu anagawa Kwa waarabu Kwa kisingizio eti wawekezaji!Tutakualika mseveni siku Moja uje umfundishe huyu aache kuuza hovyo maliasili zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…