Museveni: Kuna nchi wanaita watu wawekeze na wakodi hadi maliasili zao

Chura Kiziwi atakuwa anarembua na macho yake Yale anasema iiiiiiiiii na hili mkalitazame vizuri
 
Huyu Mtu kwake ndio Kiongozi aliyefeku kuliko Wote.

Sasa hivi anajitahidi kuongea maneno matamu kwa sababu anamwandalia Mwanaye Kiti Cha Urais..Raia wasiokuwa na akili tu ndio watamwamini.
Mkuu ni ya kweli hayo unayo ongea? Ama haya maneno na kauli ya Mseveni yamekutoa UFAHAMU! Yaani unataka kutuanbia Idd Amin Dadah alikuwa bora sana kuliko huyu BWANA! Ni vyema tuka elimishana vizuri na ya ukweli humu JF na sio ushabiki.
 
Samia analiaibisha taifa letu, tunahurumiwa na majirani huku sisi wenye nchi tukiendelea kumtazama tu anavyozidi kutoa bure rasilimali zetu.
 
Huyu Mtu kwake ndio Kiongozi aliyefeku kuliko Wote.

Sasa hivi anajitahidi kuongea maneno matamu kwa sababu anamwandalia Mwanaye Kiti Cha Urais..Raia wasiokuwa na akili tu ndio watamwamini.
Hoja hupingwa kwa hoja! Pangua hoja zake kwa hoja badala ya kumshambulia mtoa hoja.
 
Yaani mpaka huyu jamaa anaona upuuzi unaofanyika nchini? That's why wamama wa nyumbani hawatakiwi kuwa viongozi wa taifa, sababu hata kiongozi wa familia ni baba.

Huu uongozi uliingia kimakosa, ni accidental leadership. Wananchi wamejifunza, hili litakuwa somo la kutokuja kuweka kiongozi mwingine mwanamke. Mwanamke hata awe Rais wa nchi, bado atabaki kuwa sentimental, emotional driven na illogical. Hajui cha kufanya bila ya maelezo ya mwanaume. Haijalishi maelezo ni mabaya au mazuri.

Na naamini watanzania wenye akili mahali fulani wanajua cha kufanya. Hakuna jinsi zaidi ya kuweka mtu mwengine.

This was a big international mistake. Probably an intentional one for someone's selfish benefits.
 
Nimeipenda na aione chiembe na ChoiceVariable
 
Huyu Mtu kwake ndio Kiongozi aliyefeku kuliko Wote.

Sasa hivi anajitahidi kuongea maneno matamu kwa sababu anamwandalia Mwanaye Kiti Cha Urais..Raia wasiokuwa na akili tu ndio watamwamini.
Kama kitu hujui, kaa kimya! Wapi kakosea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…