Museveni: Kuna nchi wanaita watu wawekeze na wakodi hadi maliasili zao

Aisee,mbona umenitisha? Halafu naona kweli nakaribia huko,Mungu aepushie mbali, na atuepushe na watu hao, na awaguse miili au mioyo yao, wasiweze kamwe, Aamin.
 
Mamba annampigia kelele Chura kiziwi asipande huko anapanda atadondoka.
Chura kiziwi hasikii.
 
Pamoja na udikteta wake lakini Museven ni rais mwenye maono ya mbali sana juu ya nchi yake. Hauqezi amini hawa ji miongoni mwa wanafunzi wa Nyerere na kinachoendelea nyumbani hapa roho lazima iume.
 
Huwa nasema humu kuwa tz tumekamatwa na Raia feki ni mkakati mkuu haswa wa kuakikisha africa inakuwa chini ya raia feki.... wao ndiyo watakamata kila kitu hadi serikali...chakushangaza anatokea mtu kama magufuli anataka kuibomoa hiyo code ...wanatokea wapumbavu wa ccm na chadema wanampinga ...sasa ujiulize watu wenye upeo duni kiasi icho cha kuitambua dunia wanaweza kuongoza kweli.
 
Alikuwa anaisema Tanzania wazi wazi, hakuna mtu hapa Afrika mashariki asiyejuwa hili. Inauma sana, rais tunaye lakini wapi, yupo kimya tu kama haoni wala kusikia.
 
Nasikitishwa sana na wapumbavu wachache wanaomshabikia mwanasiasa anayepita. Hii nchi ni yetu sote... Rasilimali zilizopo ni kwaajili yetu na vizazi vijavyo. Inasikitisha sana mkuu
 
Museven hana la kutueleza, aanze na kuboresha kwanza kwake
 
Huyu ana lake..
Ila inauma kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…