Museveni kwisha habari yake, sasa ategemea Jeshi na Polisi tu

Museveni kwisha habari yake, sasa ategemea Jeshi na Polisi tu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huyu mzee tulimuonya tangu mapema sana kwamba miaka aliyoingoza Uganda inatosha , mwaka ujao asigombee tena , kwa bahati mbaya sana akapuuza.

Akaanza Juhudi za kishetani za kupunguza miaka yake kwa kushrikiana na Maaskofu njaa , eti umri wake ulikosewa ! baadaye akaamua kuondoa vifungu vya katiba vilivyomtaka mtu aliyefikisha umri wa miaka 75 kutogombea Urais wa Uganda ili agombee hadi atakapokuwa na mkongojo .

Lakini sasa hali imembadilikia , Waganda hawataki hata kumsikia , achilia mbali kumuona , Mzee ushawishi wake umepukutika mithili ya majani ya mti uliokauka, hawezi kushinda Urais labda apore kama wanavyofanya madikteta wengine wa kiafrika .

Poor Museveni

FB_IMG_1609354933422.jpg
 
Huyu mzee tulimuonya tangu mapema sana kwamba miaka aliyoingoza Uganda inatosha , mwaka ujao asigombee tena , kwa bahati mbaya sana akapuuza..
Acha lugha zako za kitoto ati tulimuonya, wewe kama nani?

Umenikumbusha sredi zako za kipuuzi ulipokuwa unampigia debe Mpumbavu Tundu Lissu wakati wa kampeni.
 
Back
Top Bottom