Museveni kwisha habari yake, sasa ategemea Jeshi na Polisi tu

Museveni kwisha habari yake, sasa ategemea Jeshi na Polisi tu

Huyu mzee tulimuonya tangu mapema sana kwamba miaka aliyoingoza Uganda inatosha , mwaka ujao asigombee tena , kwa bahati mbaya sana akapuuza.

Akaanza Juhudi za kishetani za kupunguza miaka yake kwa kushrikiana na Maaskofu njaa , eti umri wake ulikosewa ! baadaye akaamua kuondoa vifungu vya katiba vilivyomtaka mtu aliyefikisha umri wa miaka 75 kutogombea Urais wa auganda ili agombee hadi atakapokuwa na mkongojo .

Lakini sasa hali imembadilikia , Waganda hawataki hata kumsikia , achilia mbali kumuona , Mzee ushawishi wake umepukutika mithili ya majani ya mti uliokauka, hawezi kushinda Urais labda apore kama wanavyofanya madikteta wengine wa kiafrika .

Poor Museveni

Ingekuwa mshindi anapatikana kupitia sanduku la kura, maono yako yangekuwa sahihi.. Lkn sasa watawala wa Uganda hawana tofauti na madikteta wengine wa Afrika. Kura ni geresha tuu.

Kura zinawekwa kapuni, Mshindi anapangwa mezani, period!!!
 
Acha lugha zako za kitoto ati tulimuonya, wewe kama nani?

Umenikumbusha sredi zako za kipuuzi ulipokuwa unampigia debe Mpumbavu Tundu Lissu wakati wa kampeni.
Matusi na Uchawi ndio njia pekee aliyobaki nayo masikini ya kujiliwaza
 
Japo M7 hana jipya tena ila waganda bado hawana mgombea anayeweza kuwavusha,binafsi siamini kama Bob wine anaweza......japo anaumaarufu nchini humo na ndiyo kinachompa kiburi M7
 
Japo M7 hana jipya tena ila waganda bado hawana mgombea anayeweza kuwavusha,binafsi siamini kama Bob wine anaweza......japo anaumaarufu nchini humo na ndiyo kinachompa kiburi M7
Kama Jiwe ni Rais wewe unaona kuwa Rais kunahitaji kitu gani cha ziada?

Hata Diamond anaweza kuwa Rais mzuri tu wa nchi siyo wa Wasafi tu.
 
Kama Jiwe ni Rais wewe unaona kuwa Rais kunahitaji kitu gani cha ziada?

Hata Diamond anaweza kuwa Rais mzuri tu wa nchi siyo wa Wasafi tu.
Kila mtu na mtazamo wake usilazimishe kila mtu akubali na mawazo yako,ila Bob wine hatoshi kwenye hiyo post
 
Kama Jiwe ni Rais wewe unaona kuwa Rais kunahitaji kitu gani cha ziada?

Hata Diamond anaweza kuwa Rais mzuri tu wa nchi siyo wa Wasafi tu.
kama hajakuelewa hapa basi anapaswa kuombewa .
 
Kila mtu na mtazamo wake usilazimishe kila mtu akubali na mawazo yako,ila Bob wine hatoshi kwenye hiyo post
hivi wakati Dikteta Museveni anachukua madaraka ya Uganda miaka ya 80 ulikuwa na umri gani ?
 
Nilikuwa kama wewe........tunahitaji mabadiliko ila Bob wine hatoshi......siyo lazima ukubaliane na mm....unaweza kubaki na mawazo yako tu
hata siku moja sijawahi kukubaliana na wasiojua
 
,
FB_IMG_1610652260094.jpg
 
Tushawazoea.
Manatudanganya. Mlisema magu kwisha habari yake chaajabu hamkumuunga lisu mkono hata hamkuandamana. Hahahah
Ngoja tuone japo regime yenu tunaijua
 
Back
Top Bottom