Museveni kwisha habari yake, sasa ategemea Jeshi na Polisi tu

Museveni kwisha habari yake, sasa ategemea Jeshi na Polisi tu

East Afrika kantri haina ma rais ina viongozi wenye akili kama za vibwengo.
Kenyatta aliwaonya alisema uchaguzi siyo vita hivyo wanatakiwa wawasaidie vijana kuingia kwenye siasa badala ya kuwatandka risasi.
 
Sio m7 peke yake. wanaotegemea vikosi ni pamoja na Magu na chama chake. Huyu wetu Hussein alimuomba Maalim Seif wawe pamoja kwa sababu , kwa kauli yake ni kuwa hawezi kutawala nchi akiwa hana watu.

Angalau ametambua kuwa yupo pale kwa nguvu ya vikosi. Bila demokrasia ya kweli ni kazi bure kutumia vyombo vya jeshi. Tunasubiri tuone usanii wao utafika wapi.
 
Kama ccm..
Lkn lazima atashinda kwa wizi
Mkuu hapa kuna utofauti mkubwa wa maamuzi kati ya waganda na waswahili wa Dodoma.

Pia elimu ni factor muhimu linapokuja suala la kudai na kusimamia haki ya mganda na mtanzania
 
Afrika vituko sana.
Mu7 atashinda.
Afrika pengine ni kweli ina laana.
 
Back
Top Bottom