Dangote pia ame insist viongozi wa Africa waache mara Kuingia mkenge na investors ambao Kutekeleza miradi hio ni shida
Alivosema M7 ni kuwa haelewi maamuzi gani yalifikiwa Mpaka Lamu ndio ikawa chosen Ile Hali EAC bloc awali ili propose plant Ujengwe Tanga
Lakini tajiri ameshafanya Maamuzi na Leo mradi umefunguliwa officially kuanza ujenzi, Good enough ni Kuwa Dangote amereserve shares Kiasi Fulani kuwa ziwe bought na Nchi majirani na Pia ameenda mbali na Kudai kuwa hio refinery shares zitakuwa listed Nairobi stocks Exchange
Wakenya wanapinga Huo mradi kwasababu zisizo na mantinki Tu mana having a project that will create direct jobs kama 60k ni mradi safi
At all wanaopinga hio project ni anti Ruto na wanahisi Ruto nae ana share kupitia offshore companies Ivo they just ask for investment transparency