Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kwa umri wa Membe hatuwezi kusema kuwa amekufa mapema au ghafla, na hatuwezi kukihusisha na madai yake kwa Musiba.
Warithi wake wakiamua kuendelea kumkaba kohoni Musiba hawezi kuchomoka.
Musiba alikuwa mtoto aliyelelewa vibaya. Ni mithiri ya mtoto wa chief wa kijiji aliyewatukana wanakijiji waliompinga babanyake ili apate urithi wa hila wa mapema kwa baba yake.
Musiba ni kijana mpumbavu.