Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Jamàa kampiga tukio Membe kisa madai ya billion 9Mkuu uliza watu waliosoma cuba watakupa majibu tayari washajua kila kitu
Lazima anyolewe tu. Hachomoki.Kwa umri wa Membe hatuwezi kusema kuwa amekufa mapema au ghafla, na hatuwezi kukihusisha na madai yake kwa Musiba...
Nenda kaulize Mikocheni,Mazishi lini?
[emoji1787]Nendeni msibani mnatuchosha na thread za kichawi chawi