Mm mziki ni sehemu muhimu sana katika maisha angu.....siwezi soma bila earphones kuwa katika masikio yangu tangu nasoma o level mpaka sasa nilitumia mziki na kuweza kufaulu necta tena kwa div 2........sababu kubwa ni mziki.........playlist angu ilikuwa na nyimbo za country na rnb na chache za hiphop ka dear mama ya tupac.........kiukweli mziki ni zawadi pekee kutoka kwa mungu baba.....vitamin music hunilaza unono
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.