NAHREEL Namkubali ile mbaya kwa beat zake.Nah real kila ngoma anayotengeneza ni hit song
Sijaona producer hapo hao n beat makers1. Nahreel
2. Mr. T touch
3. Manecky
4. Imma The Boy
5. Marco Chali
Hivi hauwezi kujiwekeza kwenye mastering mtu ukawa unatoa vitu vizuri sana? mastering gharama yake ipo sehemu gani...?You have a point, ila hoja yako ina base kwenye mastering ambayo pia inahusisha sound engineering... Kwa bongo sababu ya gharama ni kama hamna ila binaweza kufanyika.
Perfect Combo, producer ni RKay ni jamaa mmoja kutoka Kenya, yupo kwenye Industry kwa muda mrefu sasa, na anafanya vizuri piajamani nyimbo ya joh makini na chidnma audio imetengenezwa na producer gani ? vipi kuhusu Wivu ya Jux?
Mikasi mkono Wa Prof Ludigo akiwa ndani ya Bongo records wakati huoBeat zao wanazozitengeneza kali lkn mpaka sasa hamna beat kali itakayo izidi NIKUSAIDIEJE ya Prof jay na MIKASI ya ngwea, majani alikuwa hatari.
Sijaona producer hapo hao n beat makers
ka-produce hit song gani hivi karibuni?!Kwani mika mwamba kwa sasa sio producer?