Muslim University of Moro: Centre of Excellence!

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
Chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro ndio chuo pekee nchini Chenye kutoa Shahada za Sharia (Sharia Law). Tuwapongeze kwa hilo. Tayari MUM kina Campus Zanzibar na punde kitafungua campus Rufiji, Kondoa, Tanga, Mtwara na Kigoma. Na nchi jirani Mombasa (Kenya) na Bujumbura (Bujumbura).

NB: Asante MUM kutupa elimu vijana
 
Attachments

  • 1043-MUM.jpg
    1043-MUM.jpg
    22.8 KB · Views: 5
Hii ndo special thread ya MUM??
Kama ndio basi jazia nyama kama wenzio.
 
Waislamu wanaojielewa hawawezi kupeleka watoto kwenye vyuo wala shule za kiislamu wala shule. Hawajui chochote kule tofauti na kufundishana elimu za kukamia wakristo. Mtoto akihitimu anajua Quran tu vingine aaha!

Akitoka hapo labda aajiriwe na Hamas/Houth/Hezbollah etc
 
Maafisa Elimu kibao wamesoma MUM. Tuliza mshono
 
Ilikuwa kosa la kiufundi kuweka neno "Muslim", katika utambulisho wa chuo, it serves nothing zaidi ya kukimbiza wateja wengine.

Ila jioni huwa tunakula nao komasava pale samaki samaki wakiwa wameweka baibui pembeni. Wananata na biti diamond anasubiri.

Ila kwa nini wanadai kwamba hata eneo la mitambo ya tanesco ni lao?
 
Waislamu wanaojielewa hawawezi kupeleka watoto kwenye vyuo wala shule za kiislamu wala shule. Hawajui chochote kule tofauti na kufundishana elimu za kukamia wakristo. Mtoto akihitimu anajua Quran tu vingine aaha!

Akitoka hapo labda aajiriwe na Hamas/Houth/Hezbollah etc
Naona huzioni kila benki duniani zinapaparikia Islamic Banking?
 
Ilikuwa kosa la kiufundi kuweka neno "Muslim", katika utambulisho wa chuo, it serves nothing zaidi ya kukimbiza wateja wengine.

Ila jioni huwa tunakula nao komasava pale samaki samaki wakiwa wameweka baibui pembeni. Wananata na biti diamond anasubiri.

Ila kwa nini wanadai kwamba hata eneo la mitambo ya tanesco ni lao?
Walikwambia wana shida ya "wateja"?

Anayeogopa neno Waislam, (Muslim, Uislam, Islam huyo ni shetani tu.
 
Mbona Bujumbura au nako kuna waislam weengi kama huko Mombasa,Tanga,Mtwara nk.????
Enewei hii hainihusu hata...
 
Chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro ndio chuo pekee nchini Chenye kutoa Shahada za Sharia (Sharia Law). Tuwapongeze kwa hilo. Tayari MUM kina Campus Zanzibar na punde kitafungua campus Rufiji, Kondoa, Tanga, Mtwara na Kigoma. Na nchi jirani Mombasa (Kenya) na Bujumbura (Bujumbura).

NB: Asante MUM kutupa elimu vijana
Kumbe hicho chuo bado kipo, mbona kwenye mifumo ua ajira hatuwaoni watu waliosoma hicho chuo, wanaendaga wapi?
 
Chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro ndio chuo pekee nchini Chenye kutoa Shahada za Sharia (Sharia Law). Tuwapongeze kwa hilo. Tayari MUM kina Campus Zanzibar na punde kitafungua campus Rufiji, Kondoa, Tanga, Mtwara na Kigoma. Na nchi jirani Mombasa (Kenya) na Bujumbura (Bujumbura).

NB: Asante MUM kutupa elimu vijana
Wamshukuru BWMkapa kwa kuwapa hisani ya majengo ya umma hapo morogoro,vipi wameacha kuwalamba viboko wanafunzi wao?
 
Back
Top Bottom